Kampeni za lala salama CHADEMA Nyamagana

Mamboleo

Member
Oct 15, 2008
69
38
CHADEMA wamemaliza kampeni za ubunge jimbo la Nyamagana leo jioni katika eneo la mkolani.Mabere marando alikuwepo kumsaidia Wenje Dibogo wa CHADEMA!Umati mkubwa umejitokeza siku ya leo kuwasikiliza wana CHADEMA.Kwa umati uliokuwepo leo kwenye mikutano ya awali pale Igoma na Mbugani ni dhahiri CHADEMA wameshachukua jimbo hili.

CCM nao walikuwepo umbali wa mita kama mita 800 kutoka walipokuwa CHADEMA.Maskini CCM walikuwepo wanachama wao wachaache pamoja na watoto.

NYAMAGANA CHADEMA wanasubiri tu mbunge wao aapishwe
 
Aleluya, Leo ndiyo siku aliyoifanya Bwana na tuishangilie kwa utukufu wa jina lake
 
pingamizi la Masha kumbe lilikuwa la kizushi enh! imekula kwake sasa.
icon8.png
 
ngoja nikasaidie wananchi katika kutafuta majina yao, lazima kieleweke!!!!!!
 
Back
Top Bottom