Mwislamu ndugu yake mwislamu mwenzake, kwahiyo anatimiza sunna za mtume.

Udini unatoka wapi tena ,kwani Mengi muislamu mbona katoa?

Mwislamu ndugu yake mwislamu mwenzake, kwahiyo anatimiza sunna za mtume.

Udini unatoka wapi tena ,kwani Mengi muislamu mbona katoa?

Habari nzuri hii nimeipenda. Ila wakumbuke kodi nyumbani!
Our country is in big mess, hatuhitaji kuanza kufanya juhudi kwa ajili ya nchi nyingine wakati sisi wenyewe tuko hoi. Nchi nyingine zinafanya hivyo kutokana na sababu za kisiasa, na kutafuta ujiko, si kweli kama wana interest na wel being ya wasomali. If that was the case, wasomali wangekuwa better than they are now. Wana ndugu zao wengi wanaowaunga mkono na wenye kufanana kiitikadi, kiimani na kitabia, na wana pesa nyingi zaidi kuliko Tanzania.

Kidogo kilichopo T
Jamanì kwa hili JK bnajiandalia pa kukimbilia hali ikimgeukia so tuwe macho
Wengine wanapenda tu ligi hawapendi maridhiano na kuongea lugha moja.Hilo suala lisha ongelewa Mkuu... inapendea ukikuta thread ina more than one page soma zoote ili kuepusha repetition....
Wengine wanapenda tu ligi hawapendi maridhiano na kuongea lugha moja.
Wasomsli siyo watu wazuri, ukijaribu kuwasaidia watakugeuka siyo muda mrefu, angalia walivyo na ubaguzi kama waarabu. angalia wlipatiwa nafasi Kenya sasa hivi wakenya Eastleigh wanajuta sana. hiki ni kizazi cha kupunguza tu duniani. elewa watoto ndio haohao wanaokuja kuwa watu wazima. Maharamia na Al-shabab.

<br / USIPORIDHIKA NA KIDOGO HATA UKIPEWA KIKUAWA HUTARIDHIKA. WE UMECHANGIA nini??Is Mengi serious au ana joke?

Kwa BILIONEA kama yeye anayoa kontena moja tuu la maji ?

Jikite zaidi kwenye lagha yako ya Kichagga hii lugha ingine kwako ni janga la kitaifa kama HIV, Shule za kata at work..teh teh teh teh