kampani please mlioko mwanza.!!!!

Mshuwa

Member
Apr 3, 2012
46
10
natarajia kuwepo mwanza tarehe31 mwezi huu kwa siku tatu..please member yeyote aliyoko pande hizo nahitaji kampani yako ya hali na mali.
 
tuje na magari au dala dala gawiza.

Mkumbuke kujipanga na matawi ya miti na maua barabarani sasa sijui ataingilia na flight ili wananchi wa Airport, Ilemela, Pasiansi, Nyamanoro kuelekea mjini wajipange barabarani na matawi ya miti na mau kusubiri mgeni huku vikundi vya ngoma vikuburudisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom