Kambi za kivita mbili za kundi la Houthi zapigwa makombora na kusambaratishwa

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Ndege za jeshi la anga la Uingereza (RAF) zalipua kambi za kijeshi za kundi la Houthi, nchini Yemen.

Kambi mbili tofauti zinaonekana kwenye video, zikilipuliwa na makombora ya kivita kutokea angani.

Kundi la Houthi limeleta shida katika Bahari ya Sham kupelekea usafirishaji kukwama. Marekani na Uingereza zimeingia kazini, kuakikisha zinasambaratisha shughuli za kundi la Houthi.

View: https://www.instagram.com/reel/C1_xqsgoWWt/?igsh=NzBxMTJ5b3hoNXBq
 
Hadi sasahivi marekani na washirika wake wameshachemsha red sea , bado hapapitiki imebidi aombe suluhu na iran
 
Attachments

  • Screenshot_20240126-004759_Chrome.jpg
    Screenshot_20240126-004759_Chrome.jpg
    98 KB · Views: 1
Back
Top Bottom