🤣🤣🤣Samahani jomba ndio tulivyo
Tena lipo kwenye ilani ya 2015 ya ccm! Nimesahau tu kifunguKamari Ni Chanzo Cha Mapato Cha Ccm
Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!Habari zenu wakuu!!?
Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti
Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!
Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9
Tuachane na hayo!!
Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi
Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!
Mi sielewi
Kuna jamaa waliliwaaaaa ikafika sehemu wakasema haiwezekani hili dude linatoboka kwanini tusitoboe tuchukue Pesa zetu ilivyofika asubuhi dude linakutwa limetobolewa na Pesa zote zimechukuliwaAchana na Hilo mashine mkuu
Huku mtaani tunaliita Dubwi sio poa yaani vijana wa Boda hawapeleki hesabu wamama nao linawapelekesha hadi kodi ya meza Dubwi anakwala sio poa
Yote haya chanzo ni CCMAlooooooooo.
vijana wa sasa huwaambii kitu kuhusu betting.
Kuna sehemu yeye anawakopesha pesa za kucheza hilo dude kwa return ya 1000 kwa kila 10000Achana na Hilo mashine mkuu
Huku mtaani tunaliita Dubwi sio poa yaani vijana wa Boda hawapeleki hesabu wamama nao linawapelekesha hadi kodi ya meza Dubwi anakwala sio poa
Watu hawaelewi hilo kwamba kununua mzigo na kuusubiri ufike, ukauuze kwa bei fulani ni kamari.Ukifikiri kwa makini maisha yote ni kamari tu nashangaa wanaodai kamari ni haramu.
KIDINI au KISERIKALIKamari ni haramu
Kamari kama cocaine, ni uraibu!Habari zenu wakuu!!?
Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti
Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!
Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9
Tuachane na hayo!!
Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi
Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!
Mi sielewi
KidiniKIDINI au KISERIKALI
Kabisa mkuu ata imani imekaa kikamari tu.Watu hawaelewi hilo kwamba kununua mzigo na kuusubiri ufike, ukauuze kwa bei fulani ni kamari.
Kusomesha mtoto ukitegemea awe hivi anakuwa vile