Kamanda Mwema, unajua trafic Iringa, Mbeya wanamiliki tochi

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Wanajamii heshima sana!
Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kipindi cha mwezi mmoja nimegundua kitu cha aibu na cha kusikitisha sana kwa kikosi cha trafik hususan kwenye mikoa ya Iringa na Mbeya.
Trafik katika mikoa hiyo wameanzia utaratibu wa kuchangishana pesa na kununua tochi pamoja na kutengeneza vitabu vya notification. Sasa hili ni hatari kwa kuwa mapato yanayopatikana kutokana na fine huwa haziendi mahali husika. Hili ni tatizo sasa tunaomba Jeshi la polisi kujiangalia na ikiwezekana wajisafishe
 
Sasa wameamua kutochukua rushwa ila wameanzisha utaratibu wa kuiba!
 
Back
Top Bottom