Kamanda Meshack Micus kuongeza nguvu kwenye timu ya kamanda Mawazo huko Magu

MKAMA6

Member
Feb 8, 2013
65
109
Mjumbe wa baraza la mashauriano CHADEMA Kagera kamanda Meshack Micus maarufu kama mbunge wa NKENGE kesho anatarajia kuwasiri kwenye timu ya Kamanda MAWAZO uko Magu.
 
nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa huyu kamanda kabla ya kuwa member humu jf kiukweli jamaa anafanya yanayopaswa kufanywa na mpenda mabadiliko namtakia kila la kheri ktk harakati zake na mungu amlinde ila pale makamanda wengine mnapokuwa karibu na huyu bwana msikose kuuzulia mkutano wake mungu akubaririki kamanda
 
makamanda wametapakaa nchi nzima wanatwanga kotekote mpaka naionea huruma CCM ya babu..
 
Kamanda Mawazo anayodhamira ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Alijiuzuru kwa hiari yake kutoka nafasi yake ya Udiwani (CCM) na kuanza ukombozi bila ya kashfa yeyote
2. Anaelewa hasa majukumu yake na kajitoa kwa Watanzania na kushinda vijijini palipo na Watanzania wengi wenye ujinga mwingi, wanaodanganywa kirahisi.
3. Kila anapopita anaacha recodi nzuri inayoonekana kwa ushindi wa fikra.

Akimaliza huko Mwanza namshauri ajichimbie kwa Wanyamwezi (Tabora) na kwa kuanzia
1. Nzega ikiwamo Bukene
2. Tabora Mjini
3. Urambo
4. Sikonge
5. Igarula
Huko Tumbaku inalimwa lakini umaskini ndo nyumbani pake sijui kwa nini hawaachi kulima hiyo tumbaku...
 
safi sana. Huyu kamanda Mawazo ni maneno nyingine kabisa. Chadema tumpeni ulinzi huyu kamanda!
 
Hata mimi nakuja Magu siku ya alhamis ili kuongeza nguvu pamoja na kamanda wangu mawazo sababu ni mwl. wangu ili aone matunda ya miti aliyokuwa akiipanda. HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE MAGU kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom