Kamanda Meshack amnadi mgombea uhenyekiti wa serikari ya kijiji Kahangara Magu leo kupitia CHADEMA

MKAMA6

Member
Feb 8, 2013
65
109
Mjumbe wa baraza la mashauruiano CDM Kagera kamanda Meshack Micus amewaomba wana Kahangara wamchague ndugu Alex awe mwenyekiti wao ili aweze kuwa tetea kwenye WODC.Katika mkutano huo alikuwa na wapambanaji wengine kama kamanda Husna,lukanga,Joys,Diwani viti mahalumu Magu bi Zena Zacharia na kamanda Bubeshi na wengine wengi.
 
Back
Top Bottom