Kama wewe ungekuwa kova, ungefanyaje?????

Mangaline

JF-Expert Member
May 19, 2012
1,045
221
Kuna aina nyingi za kazi, na hakika ndizo zinazo tuwezesha kumudu maisha. Hata hivyo kazi nyingine huwa ngumu, ingawa watu tunalazimika kuzifanya. Fikiria kazi aifanyayo ndugu yetu kova, anapo lazimika kutumwa kuua, na hasa anapolazimika kuua mtu ambaye moyoni mwake anaamini mtu huyo hana hatia, halafu analipwa hela, ambazo anazitumia kulipa ada za watoto shuleni, kununulia kitabu kitukufu (korani), kutoa sadaka msikitini, na sadaka hiyo hupokelewa na mungu na mungu wake anambariki.

SWALI.
Ungekuwa wewe umepewa kazi hiyo, Mshahara unaolipwa ungenunulia vitu gani??????????????????
 
Dini yangu ina amri inayokataza kuua. Na wala sio kuua tuu, inasema hata ukimchukia mwenzako umeshaua. Hivyo kama mimi nikuwa kwenye nafasi ya Kova na nikaagizwa kuua, naacha kazi mara moja na ikibidi nahama nchi kuwa hata mkimbizi. Huko uhamishoni nitaishitaki serikali juu ya uvunjaji wa haki za binadamu.
 
jaman sio siri kuua noma asa kwa mtu asie na hatia ndomaana Dr bado mzima naamini walio fanya unyama huu watapatikana kama jeshi la polisi litaachia na kuweka watu huru wenye uwezo kufatilia ili swala na sio kukimbilia mtu alieenda kutubu uwongo.
 
Sasa mkuu mbona unatuuliza swali jepesi hivyo? Kama mimi ningekuwa kova ningefanya kama kova. Hata wewe ungekuwa Kova ungefanya hivyo hivyo.
 
dini yangu ina amri inayokataza kuua. Na wala sio kuua tuu, inasema hata ukimchukia mwenzako umeshaua. Hivyo kama mimi nikuwa kwenye nafasi ya kova na nikaagizwa kuua, naacha kazi mara moja na ikibidi nahama nchi kuwa hata mkimbizi. Huko uhamishoni nitaishitaki serikali juu ya uvunjaji wa haki za binadamu.
inahitaji nguvu na elimu pia kama umeshafanya mara moja huwezi acha ungeacha tangu day1 ingesaidia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom