Elections 2010 kama unawatakia mema mafisadi ichagua CCM na Kikwete

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
538
Anaewatakia mema mafisadi tanzania hii achague CCM na Kikwete. mafisadi watapeta kwa kwenda mbele tena akina sie paku pakavu ndo tutaonja joto ya jiwe maana hata pale tunapotafutia maisha nako watabana ile mbaya. Kama wamepeta wakati wa miaka mitano ambayo alikuwa anajua kuwa atarudi kwa watanzania kuomba kura katika kipindi cha pile ambako atakuwa anajua kuwa ndo lala salama kwake si mafisadi watasherehekea?
 
Back
Top Bottom