Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila wasiwasi wake ni kwamba,ikitokea bahati mbaya akakutwa ana ngoma na ukzngatia huu ndo mwaka wake wa mwsho chuo,c ndo atakufa kabla hata ya cku zake.naomben mawazo yenu ili niweze kumshauri huyu mshkaji mwenzetu wakuu.