Kama unataka au unamiliki Radio Station? Soma hapa

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Habari wana JF,
Kuna Master log inauzwa ya Radio ya christian ambayo ina:-
1. Administration structure ya radio hiyo.
2. Clock formats included in master log (make my day) ya radio.
3. Schedule 24h/7d
4. Leading programs handbook (Hii imeanalize kila kipindi kilichomo kwenye radio)
5. Library ya nyimbo za kiingereza about 16GB storage.

Sifa zake:
1. Iko unique sana.
2. Haina upendeleo.
3. Inasikilizwa na watu wote.
4. Imezingatia sana competence activities na time.
5. Ina include vipindi vya kijamii na michezo.

Kama unahitaji tuwasiliane bei yake ni Tshs 1,000,000. Mazungumzo yanakaribishwa! Ukihitaji ya radio isiyo ya kikiristo pliz wasiliana tu iandaliwe soon itakuwa ready!
Ukiwa na Master log ya hivi huhitaji kujipanga panga wala nini miongozo yote imo so wafanyakazi wao ni kufanya kazi tu! programs goals zimo pia!
Thanks
 
radio produza,sijakuelewa na pia nahisi wengi hawajakuelwa ,unachouza ni vipindi vya kuendesha radio au ni full fledged radio station?
 
radio produza,sijakuelewa na pia nahisi wengi hawajakuelwa ,unachouza ni vipindi vya kuendesha radio au ni full fledged radio station?

Newmzalendo ni document kamili zinazomwenesha mtu kuendesha radio yake! ratiba ya vipindi vyote, masuala ya uongozi, yaani kila kitu kama una radio au unataka kuanzisha ukiipata hii document wewe ni kazi tu kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom