Kama unahitaji mfanyakazi wa kazi yoyote Dodoma, nipo tayari

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Habari ndugu,

Mimi ni kijana wa miaka 24 Nipo mkoani Dodoma, nilisimamisha masomo yangu nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Nilikuwa nasomea Bachelor Degree of Adult Education and Community Development. Nilisimamisha masomo kutokana na ugumu wa maisha pale chuoni.

Mwaka huu nilijitahidi kurudi chuoni Lakini kutokana na ugumu wa maisha Nyumbani, bado nimegonga mwamba. Nimepostpone tena, ili mwaka kesho nirejeee chuoni.

Hivyo basi naomba mtu yoyote mwenye kazi yoyote, popote hapa dodoma mjini anisaidie, nipo tayari kufanya kazi hiyo ili niweze kupata ada na pesa ya matumzi ili mwaka kesho nirudi kwenye masomo.

Note: Naweza kazi yoyote halali ya kutumia nguvu na akili.

Mawasiliano yangu ni 0676633060.

Nipo Dodoma.

Nimemuomba ndugu Dr wa kaliua kutuma ujumbe huu, maana sina smart phone.

Naomba msaada.
 
Habari ndugu

Mimi ni kijana wa miaka 24 Nipo mkoani dodoma,
Nilisimamisha masomo yangu nikiwa mwaka wa pili chuo kikui cha dodoma(udom)

Nilikuwa nasomea Bachelor Degree of Adult Education and community development.
Nilisimamisha masomo kutokana na ugumu wa maisha pale chuoni.

Mwaka huu nilijitahidi kurudi chuoni Lakini kutokana na ugumu wa maisha Nyumbani, bado nimegonga mwamba.
Nimepostpone tena, ili mwaka kesho nirejeee chuoni.

Hivyo basi naomba mtu yoyote mwenye kazi yoyote, popote hapa dodoma mjini anisaidie, nipo tayari kufanya kazi hiyo!

Ili niweze kupata ada na pesa ya matumzi ili mwaka kesho nirudi kwenye masomo.

Note.
Naweza kazi yoyote halali ya kutumia nguvu na akili.

Mawasiliano yangu ni
0676633060
Nipo Dodoma.


Nimemuomba ndugu Dr wa kaliua kutuma ujumbe huu
Mana sina smart phone.
Naomba msaada.
Wewe ni mgogo? Kwanza nijibu hilo.
 
Kqzi bado unahitajika
Kama unahitaji wa mfanyakazi dodoma
Tuwasiliane
 
Back
Top Bottom