Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Mwaka 1999 nilipita kwenye ukuta live bila chenga, ilikua hivi nimetoka kuoga nakatiza dinning room, nika teleza bahati mbaya nilidondokea meza ya msosi mama aka nipa kipigo cha haja na kunifungia chumbani, kwakua nilikua na hasira za kupigwa kwa kuonewa na kufungiwa chumbani, nili ukuazia macho ukuta uku na ufata, niliona ukuta ukijigawa kati kati nikapita nikatokea sitting room nyuma ya kiti cha mzee, Wote wali pigwa butwaa na kwakua nilikua nime kasirika amna alie nisemesha. Hadi leo kila Niki jaribu kupita tena sijawahi fanikiwa. ILA NAHISI NILIIKUA KWENYE MAJARIBU YA KUWA MCHAWI.
Kama hukutumia kitu chochote zaidi ya kuangalia ukuta kwa hasira na ukafunguka huo sio uchawi bali ni nguvu yako ya asili uliyonayo wewe mwenyewe lakini hujijuwi kama unayo hiyo nguvu . Mpaka itokee shida nyingine ndipo utakapo weza kuitumia hiyo nguvu yako ya asili kuku okowa na matatizo .
 
Miaka kadhaa imepita, nilikuwa naaishinmbezi beach iyo siku nilikuwa nnaumwa nimekunywa dawa, ila ilibidi nikakutane na washkaji zangu samaki samaki, sikugusa pombe kabisa mida kama ya saa 7- 8, nikaondoka nimefika maeneo ya makongo nikamuona binti mwanafunzi, amevaa uniform anatembea kwa kuchechemea sana, huku mguu mmoja hauna kiatu wala soksi, nikafikiria kumsaidia nafdi ikaniambia acha, yani nilivyompita tuu nnachungilia simuoni kwenye vioo

Next time makongo hapo hapo saa kumi usiku ninarudi home tukakutana na mbibi na kijana wamevaa manguo meupe na kujipaka vitu vyeupe ila walikuwa wanatembea kwenye lane tofauti na tuliyokuwa na katika gari tulikuwa wanne na watatu wote tuliwaona, nikamwambia jamaa alikuwa anaemdesha wakiingia lane yetu usiwakwepe fumua
 
Kama hukutumia kitu chochote zaidi ya kuangalia ukuta kwa hasira na ukafunguka huo sio uchawi bali ni nguvu yakoya asili uliyonayo wewe mwenyewe lakini hujijuwi kama unayo hiyo nguvu . Mpaka itokee shida nyingine ndipo utakapo weza kuitumia hiyo nguvu yako ya asili kukuokoa na matatizo .
Duh asante kwa kunijuza ila natamani sana ijirudie tena
 
Duh asante kwa kunijuza ila natamani sana ijirudie tena
Mkuu Ninakupa ushauri mzuri ukitaka zile nguvu zije tena achana na kuvuta sigara,kunywa pombe na uzinzi. Na pia uwe unapenda kufanya sana ibada kama ni mkristo nenda sana kanisani la kama ni Muislam nenda sana msikitini na kuacha kusema maneno ya uongo pendelea kusaidia watu. Kuwa mtu mkweli na Muaminifu kwa watu fuatilia Thread za huyu Kijana anayeitwa kwa jina hili Mr Rakims utapata faida nyingi sana ukitaka Thread zake bonyeza hapa.

 
Mkuu Kiranga njoo hapa usome hii
Wewe kama huamini kuwa uchawi upo nenda katika Mti wa Mbaazi saa7 usiku ukishafika wakati huo simama chini ya huo mti wa mbaazi kisha vua nguo zako uwe uchi kabisa subiri kama saa 1 ipite basi utawaona wachawi wote wapo uchi kama wewe usije kukimbia unaweza kufa. ukiweza jaribu kisha uje hapa utupe majibu ila Mkononi mwako shika Fimbo ya Mti wa muhogo mchawi hatoweza kukudhuru atakaye jaribu kukusogelea mchape nayo hiyo fimbo ya mti wa muhogo atakwenda kwao kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna vitu tumefanana na hali iliyowahi kunitokea.....huko kusisimka mwili usiku nmezoea na ni kama tu nimenena kwa lugha mda mrefu na kumzingua alieingia room..... Mara zote kwenye hatari ambayo roho yangu inaona naweza angamia Yesu huwa anaingilia kati uoga unaondoka na naanza nena.... Uzuri nashukuru naweza fungulia baraka za kunena kwa lugha... Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mkuu, mimi ilikuwa nikisisimka hivyo nashindwa kuendelea kuomba, with time nikawa sawa.Pole tuendelee kumtumainia Yesu
 
UKITAKA KUWAONA WACHAWI (Hii Dawa ni hatari kama hauna kinga ya kutosha mwilini tafadhali usijaribu kabisa)

jua kabisa jambo hili ni hiyari yako lakin ni zuri sana kama utalifanya kwa hakii basi fanya yafuatayo,chukua Muhogo wa aina ya Kisamvu Mpira (Muhogo Mpira) majani yake pamoja na Majani ya mbaazi Hayo Majani ya aina 2 twanga kwa pamoja kisha kamua maji yake unawe usoni wakati wa usiku mwingi hakika utaona ajabuu sana utawaona wachawi wote wanao kusumbuwa usiku.
Hiyo ni system ya kuwaona maisha yako yote au Mara moja tu?Pia na je wao watajua kua umewaona au?
 
Back
Top Bottom