Kama UK ilinusurika kupigwa TZS bilioni 200 na DP World, Tanzania inachomokaje kwenye kashfa za ukwepaji kodi wa kampuni hiyo?

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa kampuni ya Shell mwaka 2010 na sasa ni bandari kubwa ya bahari kuu.

Kwenye kesi tofauti, mahakama ya ushuru imekataa mpango wa kuepuka kodi uliofanywa na DP World, ikiiita "hila iliyowekwa kwa ustadi." Mpango huo, uliojulikana kama "Mpango wa Dear Simon," ulianzishwa awali na P&O mwaka 2004 na ulilenga kupata msamaha wa kodi wa pauni milioni 14(40,814,000,000TZS). DP World, ambayo ilinunua P&O mwaka 2006, ilijaribu kukata rufaa dhidi ya kukataliwa kwa mpango huo lakini ilishindwa.

DP World, ambayo kwa kiasi kikubwa inamilikiwa na Dubai World na kudhibitiwa na Sheikh Mohammed bin Rashid al-Maktoum, sasa inakabiliwa na tuhuma za ukwepaji kodi na matokeo ya kukataliwa kwa mpango wa kuepuka kodi.

Maendeleo haya yanafichua utata wa kodi unaowazunguka DP World, kampuni kubwa ya kimataifa ya bandari, na ushiriki wake katika mikakati ya kifedha iliyozoeleka.
 
Hizi ni akili za kitanzania zilizojaa uoga. Kwamba DP World walitaka kuwaibia waingereza hivyo na sisi tujihadhari!.

Hizi ni akili za kimaskini sana, na hazitusaidii chochote. Kama wewe unaishia tu kuongelea mambo ya biashara ya bandari ukiwa nyuma ya keyboard yako huwezi kuwa na hoja yoyote ya maana yenye kustahili hata kusikilizwa na kusomwa na watu humu JF.

Ukitaka kujua faida za uwekezaji wao tazama ufanisi wa utoaji mizigo wa huko huko UK halafu linganisha na kero za bandari yetu.

Lazima watanzania tubadilike, tuondokane na hizi akili za kuona kama vile tuna mali nyingi sana na eti kila mgeni anataka kuja kutuibia, that is stupid kind of thinking and it won't lead us to our favorable destination.
 
Kula chuma icho!
Screenshot_20230607_120333.jpg
 
HALAFU BANDARI NI JAMBO LA MUUNGANO MBONA BANDARI YA ZANZIBAR HAIPO KWENYE MKATABA
 
Hizi ni akili za kitanzania zilizojaa uoga. Kwamba DP World walitaka kuwaibia waingereza hivyo na sisi tujihadhari!.

Hizi ni akili za kimaskini sana, na hazitusaidii chochote. Kama wewe unaishia tu kuongelea mambo ya biashara ya bandari ukiwa nyuma ya keyboard yako huwezi kuwa na hoja yoyote ya maana yenye kustahili hata kusikilizwa na kusomwa na watu humu JF.

Ukitaka kujua faida za uwekezaji wao tazama ufanisi wa utoaji mizigo wa huko huko UK halafu linganisha na kero za bandari yetu.

Lazima watanzania tubadilike, tuondokane na hizi akili za kuona kama vile tuna mali nyingi sana na eti kila mgeni anataka kuja kutuibia, that is stupid kind of thinking and it won't lead us to our favorable destination.
Mkuu una kitu na utafika mbali! Dare to say we can nothing after 60 years of independence!!! This is a laminated stupidity!! Kama mnataka kubinafsisha anza na CCM!! The source of all evils!! Sio bandari.

Ni upambafu kutwambia hatuwezi baada ya miaka 60 ya uhuru!! Tutaweza lini sasa??
 
Mkuu sisi tunapiga kelele lakini siku za uchaguzi tunajifungia ndani tukitazama movies na kuuliza matokeo huko nje yapo vipi!.

Mabadiliko yanaanza na sisi wenyewe vinginevyo tutalalamika mpaka siku ya kwenda kaburini.
 
Hizi ni akili za kitanzania zilizojaa uoga. Kwamba DP World walitaka kuwaibia waingereza hivyo na sisi tujihadhari!.

Hizi ni akili za kimaskini sana, na hazitusaidii chochote. Kama wewe unaishia tu kuongelea mambo ya biashara ya bandari ukiwa nyuma ya keyboard yako huwezi kuwa na hoja yoyote ya maana yenye kustahili hata kusikilizwa na kusomwa na watu humu JF.

Ukitaka kujua faida za uwekezaji wao tazama ufanisi wa utoaji mizigo wa huko huko UK halafu linganisha na kero za bandari yetu.

Lazima watanzania tubadilike, tuondokane na hizi akili za kuona kama vile tuna mali nyingi sana na eti kila mgeni anataka kuja kutuibia, that is stupid kind of thinking and it won't lead us to our favorable destination.
Wewe umeongea nn pale?,ni makosa kuchunguza mwanamke unayetaka kufunga naye ndoa,kuwa anauadilifu gn? Amevunja ndoa ngapi?, amekamatw ugoni mala ngapi?.
 
Unaanza kwanza kujitazama udhaifu wako wa ndani kabla ya kuja na akili hasi kuhusu huyo unayetaka kufunga nae ndoa.

Unaweza kuzeeka ukiwa mpweke kama unaona ufahari kutazama makosa ya kila mwanamke.
 
Back
Top Bottom