Kama ningekuwa kiongozi muadilifu ningelisign

We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
814
380
Wana Jamvi,

Kwa viongozi wetu waliopo madarakani, hasa wale wa Kisiasa na wa Kuteuliwa. Kwa jinsi hali ya utendaji wa Serikali ulivyo kwa sasa, sina shaka kabisa kuwa imepoteza muelekeo, na kupoteza imani kwa wananchi walio wengi. Kwa mantiki hiyo basi, kiongozi muadilifu, narudia, kiongozi muadilifu kwelikweli, asingeweza kufanya kazi kwa hali ya kutoeleweka/ kutoaminiana/ kubabaika iliyopo Serikalini kwa Sasa. SWALI: Je Viongozi wetu nyie mliopo ndani ya Serikali ni Waadilifu? Au hamjui na kufahamu maana ya Uadilifu?

Tupeni majibu wala msisubiri 2015
 
wanaboa sana na lugha zao utoto mtupu kujifanya hujui kiswahili bora uandike ungejiuzulu
nkutofautisheje na mtu wa kidato cha kwanza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom