Kama ningekuwa dr. Hosea wa takukuru

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Kama ningekuwa dr hosea ningejiuzuru ukurugenzi afu nikaomba hifadhi brazil au nchi yoyote kama mhamiaji wa kisiasa afu nitoboe misiri yote ya viongozi waliopelekea taifa kuwa ktk hali mbaya hivi.

Maana inaonekana dr hosea anayajua mengi
na akistaafu tu watamfanyia kama walivyomfanyia dr balali(tunayedhani au kufikiri amekufa)
mwenye hoja
 
Hapana Mzambia asikimbie kwenda kokote bali akomae kibishi kutusaidia wanyonge...jembe letu likiondoka kwenye kile kiti chake mafisadi watafurahi sana kwani sasa hivi anawazibia riziki zao...ipo siku wananchi tutaandamana kwenda kwa DPP tukamchape fimbo kwa kuzuia mikesi ya waheshimiwa isifikishwe mahakamani...Hosea kila siku anatujuza kwenye vyombo vya habari kwamba kampelekea DPP mikesi ya waheshimiwa kibao lakini jamaa anakaa nayo ofisini kwake tu...!!!
 
Dr Hosea kalalamika sheria ina mbana mbavu kula sahani moja na wala rushwa wakubwa, sheria ibadilishwe ili ufanisi wa PCCB uongezeke.
 
Kama ningekuwa dr hosea
ningejiuzuru ukurugenzi afu nikaomba hifadhi brazil au nchi yoyote kama
mhamiaji wa kisiasa afu nitoboe misiri yote ya viongozi waliopelekea
taifa kuwa ktk hali mbaya hivi.

Maana inaonekana dr hosea anayajua mengi
na akistaafu tu watamfanyia kama walivyomfanyia dr balali(tunayedhani
au kufikiri amekufa)
mwenye hoja

kwani kagombana na nani mpaka akimbie nchi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom