Kama ni Mshongo soma hii

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Kama umeowa wa kuolewa lakini unae mtu wako wa pembeni (undercover lover) kwa mapenzi ya ziada ambaye hutaki mkeo au mume ajuwe (aelewe) hakikisha sabuni unayotumia nyumbani wakati wa kukoga vile vile umeiweka kwa mpenzi wako yakiwemo na manukato unayotumia katika nyumba kubwa ,hii inasaidi mama watoto au mume kutojuwa kama ulimsalili kwani wanawake ni hodari kujuwa harufu ya sex, kuviweka vitu kama hivyo kwa hawara wako inamzuwiya mama watoto au baba watoto kuelewa nini kinaendele na kumucha solemba .
 
good to share!

Ila ndugu, humu kuna maprof, tafuta nyuzi zao zitakusaidia.
Watu wanacheat hadi wanajicheat wao wenyewe na hawajikamati kwa jinsi maujuzi yalivyo makubwa.
 
Back
Top Bottom