Kama mwanamke wako amewahi kukupa mojawapo ya maneno haya, unatakiwa kujitafakari

Na ukipuuza kila anachokisema utakuja kulia kilio cha mbwa.

Shida huwa hamueleweki na mood zenu Kama bembea.As a man naweza kutunza tuu kukufuatisha kila kitu wasema kwa mwanamke ni ngumu nyie ni Kama watoto.Tutaishia kubembelezana tuu.
 
Kuamini maneno ya mwanamke ni kazi sana MKUU.
Anaweza kuwa na furaha akatoa machozi.

Ni viumbe wasioweza kutumia akili vizuri wengi hutawaliwa na hisia.

Anaweza kukwambia hivyo sababu umempa pesa! Umempiga mashine! Au umempa zawadi! Hivyo Zile hisia zitamfanya akuoneshee upendo wa maneno.

Ikitokea anahitaji kitu kwako akakosa hapo utaonadharau ya kila rangi ya mwanamke!

Jambo jema ninalo liona Kwenye mahusiano hasa sisi wanaume. Ni kujifunza kuyapuuza baadhi ya Mambo Kwa mwanamke.

Kuwapuuzia itatusaidia tusitegemee kupata shukrani Kwa mwanamke bila kujali umemfanyia nini.

Tunapo wafanyia mambo tufanye kama tunajitoa tu msaada.

Tusiwaamini wanawake maana uwezo wako WA akili ni mdogo SANA kuliko nyoyo zao..
nakubaliana na wewe mkuu, hawa viumbe ni wa ajabu sana.
 
Sasa ulitaka tuseme nataka dyudyu!!! Had muombwaji si utashtuka jamani
mmoja ananiambiaga naskia baridii, wakat wote tupo eneo 1 ila yeye baridi kwake kali,nikisikia hivyo tu najiongezaga..mchezo ukiisha et yupo ok😂
 
Mwanaume una option zifuatazo:

1. Usioe, zaa tunza watoto.
2. Oa zaidi ya mke mmoja.
3. Ukioa mke mmoja, ili uwe na aman mpuuze.

Ukioshaoa, hakikusha:

1. Mtazamo wa kuishi na mke uwe kama kitabu chako kinavyoelekeza.
2. Usisikilize wataalam wa ndoa na walimu, hata wao ndo ngumu.
option 2
 
Ukiona mbwa wako anakubwekea hovyo ujue kuna mtu anamlisha
Sina maana ya mbwa kama mbwa
 
Kama mwanamke wako amewahi kukupa mojawapo ya maneno haya, unatakiwa kujitafakari.

"Usifikiri sitongozwi...nakuheshimu tu!"

" Usidhani nakuogopa, nakuheshimu... "

" Hata mimi naweza kufanya... lakini nimeamua kukuheshimu! "

" Nimewakataa wanaume kibao kwajili yako..."

" Nafanya hivi kwajili yako...."

Brother, hayo maneno sio credit kwako bali ni dharau. Nyuma ya dhamira yake anaamini kuwa umebahatika kuwa naye na anayafanya hayo kwa kukuhurumia. Kama ndivyo, inamaanisha kuwa anaigiza. Na maigizo yana mwisho. Mapenzi ni two-way traffic... Usikubali kuwa blackmailed!

Heshima ya kwanza ya mtu ni kwa utu wake mwenyewe. Anatakiwa kujiheshimu kwajili yake na Mungu wake, kisha wewe unufaike na hiyo heshima. Lakini kama anadhihirisha kwa matamshi yake kuwa anajiheshimu kwajili yako, basi hiyo ni kebehi. Ni suala la muda tu, heshima yake ita-expire na ataamua kuishi atakavyo.

Mwanamke anayejiheshimu, anafanya hivyo kwajili ya utu wake mwenyewe kwanza. Kwa vile anajua thamani yake. Lakini pia atajiheshimu kwajili ya Mungu wake, wazazi wake na heshima ya familia yake. Hata mkigombana ama kuachana yeye ataendelea kujiheshimu, kwasababu heshima ni sehemu ya maisha yake katika kunasibu utu wake.

Kama anajiheshimu kwajili yako, manake amechagua kuwa kifungoni. Heshima ya kweli ya mtu ni ile anayoitunza kwajili ya thamani ya utu wake mwenyewe.

Kama kuna mavazi ameamua kuyaacha kwajili yako, basi anaigiza, ipo siku yeye halisi ataibuka. Na pengine ukiwa mbali, atataka kuvaa vile atakavyo. Na ataishi katika matao yake.

Na ewe dada, hakuna haja ya kuigiza maisha. Ishi maisha yako. Acha akukubali vile ulivyo. Akujue vile ulivyo. Vaa unavyopenda, ishi unavyotaka; kunywa unachopenda; ili akikupenda akupende pamoja na mavazi yako na tabia zako. Akipenda boga, atapenda na ua lake.

Zaidi sana, jiheshimu wewe kwajili yako na sio kujiheshimu kwajili yake. Msingi wa heshima ya mtu, ni kwajili yake mwenyewe. Na kama ukifanya kwajili yake, basi iwe kwajili ya upendo wa agape na utashi wako. Isiwe kama unampa favour.

Unajua nakuheshimu?View attachment 2734624
Mkuu ilishanitokea, lakini nilikuwa na nyumba ndogo.
Nilipata maneno mengi ya aina hiuo,
" wanaume wananitongoza lakini sitaki"
"Nimekopa kwa XXX , tumrudishie haraka maana anataka nimpe vitu au nimrudishie hela"
"YYY ananisumbua sana, maana ananitaka, nimemwomba anikopeshe"

Mwisho wa siku nikaamua kama konokono kurudi ndani ya nyumba na kukata uhusiano.
Kuja kugundua kumbe muda wote huo nilikuwa mbuzi wa kafara.
 
Mkuu ilishaniyokea, lakininilikuwa nyumba ndogo.
Nilipata maneno mengi ya sina hiuo,
" wanaume wananitingiza lakini sitaki"
"Nimekopa kwa XXX , tumrudishie haraka maana anataka nimpe vitu au nimrudishie hela"
YYY ananisumbua sana, maana nataka anikopeshe"

Mwisho wa siku nikaamua kama konokono kurudi ndani ya nyumba na kukata uhusiano.
Kuja kugundua kumbe muda wote huo nilikuwa mbuzi wa kafara.
Mkuu upo kwa asilimia 99. Mimi nilishafanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha, mwanamke anayetamka maneno ya aina ya hiyo kwa kurudia-rudia, mara nyingi anakuwa ameshakugeuza kama chapati bila ya wewe kujijua.

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom