Kama Mnyika naye Profesa Lipumba amesema Wamekubaliana pawepo Tume Huru ya Uchaguzi mambo ya Katiba mpya yatafuata baadae!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Mwenyekiti wa TCD Prof Lipumba amesema kutokana na muda kuwa mchache Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu Wamekubaliana na Serikali waweke Mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi
Lipumba amesema Umuhimu wa Katiba mpya uko pale pale ila wanakimbizana na muda

Lipumba alikuwa akihutubia siku ya Demokrasia Duniani

Jumaa kareem 😂😂😂
 
Mi nilidhani bima ya afya kwa umma wote waTz ndio dharura na muhimu zaidi, kumbe tena ni tume ya uchaguz ndio jambo la dharura zaidi na ndio muhimu kuliko yote 🤣🤣🤣

wanasiasa bana, yaani huyu mwananchi ambae hana uhakika wa kupata huduma ya afya ya uhakika si ndio mngemjali zaidi ndugu zangu.
 
Kuna wazee watakuja kufa mdomo wazi
 
Mi nilidhani bima ya afya kwa umma wote waTz ndio dharura na muhimu zaidi, kumbe tena ni tume ya uchaguz ndio jambo la dharura zaidi na ndio muhimu kuliko yote

wanasiasa bana, yaani huyu mwananchi ambae hana uhakika wa kupata huduma ya afya ya uhakika si ndio mngemjali zaidi ndugu zangu.

Hata bima unasubiria chama cha siasa kiseme, ww mwananchi una kazi gani?
 
Mi nilidhani bima ya afya kwa umma wote waTz ndio dharura na muhimu zaidi, kumbe tena ni tume ya uchaguz ndio jambo la dharura zaidi na ndio muhimu kuliko yote 🤣🤣🤣

wanasiasa bana, yaani huyu mwananchi ambae hana uhakika wa kupata huduma ya afya ya uhakika si ndio mngemjali zaidi ndugu zangu.
Mkuu wanasaisa wanaoumizwa na shida za wananchi ni wachache sana. Wengi wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi, biashara zao na wafadhili wao.
 
Mi nilidhani bima ya afya kwa umma wote waTz ndio dharura na muhimu zaidi, kumbe tena ni tume ya uchaguz ndio jambo la dharura zaidi na ndio muhimu kuliko yote 🤣🤣🤣

wanasiasa bana, yaani huyu mwananchi ambae hana uhakika wa kupata huduma ya afya ya uhakika si ndio mngemjali zaidi ndugu zangu.
Siku zote hakukuwa na katiba mpya, kipi kilizuia huduma za afya za uhakika?
 
Mwenyekiti wa TCD Prof Lipumba amesema kutokana na muda kuwa mchache Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu Wamekubaliana na Serikali waweke Mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi
Lipumba amesema Umuhimu wa Katiba mpya uko pale pale ila wanakimbizana na muda

Lipumba alikuwa akihutubia siku ya Demokrasia Duniani

Jumaa kareem 😂😂😂
Umekurupuka sana. Wamesema

1. Bungeni kupelekwe mabadiliko ya katiba yakuendana na uchaguzi
2. Ratiba na sheria ya madiliko ya katiba. Maana manadiliko yanahitaji bunge. Hakuna myu anajua itachukuwa muda gani kikubwa mchakato uanze maana CCM wanataka kusiwepo hata na mchakato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom