Kama mna mpango wa kumpa kazi Nabi afundishe Simba basi mmeishiwa mawazo

Simba Kuna wajinga wengi hakika!!, Kwahiyo Nabii kuwa na mahusiano na yanga iwe sababu ya yeye kutokuajiriwa Simba?. Ulitaka Nabii alipoondoka yanga mahusiano yao yakome!, Yanga ni inahusikaje na ajira ya Nabii kwa Simba? Punguzeni mihemko msione aibu kumchukua atawafaa sana.
GENTAMYCINE njoo huku kwa kilaza mwenzio mmseme Prof Nabii
 
Mkuu mambo mengine tuwe tunafanya kama watu wazima tuliokomaa.

1 . Far Rabat inaongoza ligi ya moroko.

2. Nabi anaongoza ligi ya moroko.

3. Nabi analipwa Fedha nyingi zaidi huko Morocco.

4. Nabi hawezi kuja Tanzania kuifundisha simba

-Ana mapenzi sana na yanga.
-Yupo karibu sana na viongozi wa yanga.
-

VIONGOZI WA SIMBA SI WAPUMBAVU KIASI HICHO JAPO WENGI NI WAJINGA.

JISAHIHISHE
 
Tuna mwenyekiti bogus sana.Sijui waliompigia kura walikuwa wanawaza nini!

Sijui huku Simba hakuna vijana wasomi wapewe timu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mambo mengine tuwe tunafanya kama watu wazima tuliokomaa.

1 . Far Rabat inaongoza ligi ya moroko.

2. Nabi anaongoza ligi ya moroko.

3. Nabi analipwa Fedha nyingi zaidi huko Morocco.

4. Nabi hawezi kuja Tanzania kuifundisha simba

-Ana mapenzi sana na yanga.
-Yupo karibu sana na viongozi wa yanga.
-

VIONGOZI WA SIMBA SI WAPUMBAVU KIASI HICHO JAPO WENGI NI WAJINGA.

JISAHIHISHE
Labda mnaenda kuvunja mkataba na kumuongezea dau la mshahara
 
Yaan makocha wote hamuwaoni muongee na Nabi, mtu ambaye amekuwa na ukaribu mno na viongozi wa yanga, nyie viongozi ni Yanga ni nini? Mbona mna mambo ya ajabu sana nyie
Soka la Simba Nabi haliwezi.

Mpira wa Nabi anategemea kasi ya wachezaji hasa kupitia Counter attacks.

Ndio maana kwenye kikosi Cha Nabi, Azizi Ki, Morisson wali_struggle.

Wakati Kisinda, Mayele, na Moroko walikuwa lazima wacheze Kwasababu ya kukimbiza.

Simba wachezaji wengi wazee uwezo wa kukimbiza hawana.
 
Simba Kuna wajinga wengi hakika!!, Kwahiyo Nabii kuwa na mahusiano na yanga iwe sababu ya yeye kutokuajiriwa Simba?. Ulitaka Nabii alipoondoka yanga mahusiano yao yakome!, Yanga ni inahusikaje na ajira ya Nabii kwa Simba? Punguzeni mihemko msione aibu kumchukua atawafaa sana.
GENTAMYCINE njoo huku kwa kilaza mwenzio mmseme Prof Nabii
hujaijua bongo wewe ...huyu mtoa mada kaleta mada itakayokuwa ndo lawama kwa mashabiki wa simba kwenda kwa viongozi wa simba baada ya nabi kupasuka mechi kadhaa
 
Soka la Simba Nabi haliwezi.

Mpira wa Nabi anategemea kasi ya wachezaji hasa kupitia Counter attacks.

Ndio maana kwenye kikosi Cha Nabi, Azizi Ki, Morisson wali_struggle.

Wakati Kisinda, Mayele, na Moroko walikuwa lazima wacheze Kwasababu ya kukimbiza.

Simba wachezaji wengi wazee uwezo wa kukimbiza hawana.
Ufafanuzi mzuri
 
Yaan makocha wote hamuwaoni muongee na Nabi, mtu ambaye amekuwa na ukaribu mno na viongozi wa yanga, nyie viongozi ni Yanga ni nini? Mbona mna mambo ya ajabu sana nyie
Kwanza uwezo wa kuvunja mkataba wa NABI mnao au mnapiga kelele tu.

Back
Top Bottom