Kama Mbowe na Tundu Lissu hawatagombanishwa kufikia Uchaguzi mkuu 2025 basi CHADEMA itafanya Vizuri sana kwenye Uchaguzi mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,116
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
 
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi

Mkuu Lissu na Mbowe hawezi ongoza nchi hata ya Panya. Waendelee kutuburudisha Tu majukwaani. Tanzania inataka watu wakali na wenye maono. Sio hao wanaodaiwa Fadhila na wanaowawezesha.
 
Jo wewe shuhuda,hiyo chama ni imara kama chuma cha pua,ulishajaribu na kuthibitisha uimara wake.Ndio maana kijani na washirika wao,wakiisikia hiyo chama,wanapata homa ya matumbo.😂😂😂🏃🏃🏃
 
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
poa poa msabato mwenzangu
 
Mkuu Lissu na Mbowe hawezi ongoza nchi hata ya Panya. Waendelee kutuburudisha Tu majukwaani. Tanzania inataka watu wakali na wenye maono. Sio hao wanaodaiwa Fadhila na wanaowawezesha.
Watu wenye maono na ukali ndiyo hawa CCM siyo?
Miaka 62 ya uhuru huduma ya maji mjini na vijijini bado ni kitendawili pia umeme wa mgao na hapo bado matumizi asilimia kubwa ni kuwasha taa na kuchaji simu, itakuwaje siku tukiwa na viwanda vingi na vikubwa kama Afrika ya kusini? watu wenye akili wangewaza kuzalisha nishati ya kutosha na siyo kuvalisha maafisa usafilishaji fulana za "nani kama mama".
Ni kichaa tu anaeweza kuamini mfumo wa nchi hii chini ya CCM unaweza kufanya huge transformation ya kiuchumi.
 
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Kama nasikia mlio wa BUNDI VILEE BADALA YA NJIWA. USHINDWE NA ULEGEE KATIKA YESU ALIYE HAI
 
Mkuu Lissu na Mbowe hawezi ongoza nchi hata ya Panya. Waendelee kutuburudisha Tu majukwaani. Tanzania inataka watu wakali na wenye maono. Sio hao wanaodaiwa Fadhila na wanaowawezesha.
Samia ni Mkali,
Samia ana maono.
Akili ni haba kwenye ukoo wenu.
 
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
kwamba eti mbowe na lisu wanaangaliana macho kwa macho?😳

haiwezekani hawamalizi 2023.
kwasasa wanaoneana aibu sana, halafu wanaviziana kinoma , zaidi sana wanategeana nani amuanze mwenzake ....

Tatizo kubwa:
mgombea Urais, Uenyekiti Taifa, fedha za join the chain na fedha za chama, ubabe, ulevi, mapenz na upendeleo.

Lakini pia pale kwenye nini kianze kurekebishwa au kibadilishwe,Time ya uchaguzi au Katiba kwanza hawaelewani!!

Waeendelee na maridhiano au wasiendelee, hawaskilizani.

Watukane viongozi wa serikali au wasitukane hapo ndio ubishi mkubwa zaidi , hawaelewani kabisa.

So kufikia dec.2023 wakiwa wamoja intakua ngumu sana.
 
Mkuu Lissu na Mbowe hawezi ongoza nchi hata ya Panya. Waendelee kutuburudisha Tu majukwaani. Tanzania inataka watu wakali na wenye maono. Sio hao wanaodaiwa Fadhila na wanaowawezesha.
Maono 🤣🤣🤣 CCM wamejaa maono na ni wakali sio 🤣🤣🤣 miaka zaid ya 60 wanahangaika kujenga matundu 16 ya vyoo? NB: Sometimes sio lazima mtu ajibu hoja iliyopo mezani, unaweza pita kimya tu na ukabaki na siri yako ya kutokua na akili!!
 
😂😂😂
 
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄

1695389359452.png

Kama unapenda kujdili siasa za kitaifa usijadili personalities. Jadili taasisi inayoitwa chama cha siasa cha Chadema.

Swali kuu ni hili: Chadema ni chama kilichopevuka kwa kiwango cha kuweza kuongoza serikali ya nchi inayoitwa Tanzania?

Kwa ajili ya kujibu swali hilo napendekeza kwamba maswali madogo yafuatayo yanapaswa kujibiwa katika Organisational Capacity Assessment Process (OCAP):

1. Kwa kutumia kigezo cha "ustawi wa watu" kama lengo kuu la serikali yoyote makini, Chadema wanayo itikadi bora kuliko vyama vingine?

2. wa kutumia kigezo cha "ustawi wa watu" kama lengo kuu la serikali yoyote makini, Chadema wanazo sera bora kuliko vyama vingine?

3. Chadema wanao viongozi wa kitaifa wenye hadhi hiyo kwa sababu ya sifa zao?

4. Mtendaji mkuu wa Chadema pamoja na sekretarieti zilizo chini yake kuanzia Makao Makuu hadi kwenye Msingi anao uwezo wa kuisimamia serikali kama Chadema ikishika dola?

5. Watendaji wa Chadema (Makatibu ngazi ya Taifa, Mikoa, Wilaya, Kata, Vijiji na Misingi) ni wangapi wana Digrii tatu, digrii mbili, digrii moja, shahada, stashahada, astashahada, kidato cha sita, kidato cha nne, darasa la saba, elimu ya watu wazima?

6. Chadema wanazo ofisi za Chama katika mikoa mingapi, wilaya ngapi, kata ngapi, vijiji vingapi, vitongoji vingapi?

7. Viongozi na wanachama wa Chadema wanaheshimu Katiba ya Chama kwa asilimia ngapi?

8. Tunu zinazowaongoza wanachama na viongozi wa Chadema ni zipi?

9. Ni kwa kiasi gani wanachama na viongozi wa Chadema wanaziishi tunu rasmi za chama?

10. Chadema wanasema nini kuhusu kanuni ya usawa wa binadamu?

11. Chadema wanayo tabia ya kufanya vikao vya kikatiba katika kila ngazi?

Kwa maswali haya utajua kwa uhakika kama chama kimepevuka kwa kiwango cha kuweza kuongoza nchi yenye makabila 120plus (tazama ramani).

1695389700045.png

Ramani ya Tanganyika ikionyesha makabila yote
 
Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Kwa sasa combination ya Mbowe ( Mwamba) na Tundu Lisu ( Ni Yeye) ndio inafanya Vizuri sana kwenye Siasa za Majukwaani, mitandaoni na Mioyoni

Mbowe na Lisu wamezipiku combination za Komredi Kinana na Komredi Chongolo huku combination ya Duni Haji na Zitto Kabwe ikipotea kwenye ramani kabisa

Mambo yakibaki Hivi hadi Uchaguzi mkuu ujao 2025 basi Chadema ya Ufipa st haitakamatika

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.

(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.

(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%

Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.

(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO

(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%

Spika wa Bunge Zitto Kabwe.

MWISHO WA UTABIRI
 
Back
Top Bottom