Kama ilivyotarajiwa: CHADEMA waja na hoja nzito kuhusu mchanga wa dhahabu, wananchi wapigwa butwaa

Jobongo

New Member
May 19, 2017
4
219
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga

;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli

Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzwa

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.

: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.

Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??

Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!
 
Duh matahila mengi muingie kwenye mikataba wenyewe na ndiooooo leo mnasema chadema
 
Mtoaji wa Mada naona akili zako ni zile alizosemaga marehemu Masabuli zimekalia........
 
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga

;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli

Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzwa

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.

: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.

Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??

Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!
Hahahahahaha, kula mle wenyewe matatizo muwatupie Chadema,mkafie Buzwagi majizi makubwa.
 
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga

;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli

Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzwa

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.

: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.

Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??

Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!
2020 ndo ajenda?
 
Hapa utapata majibu mengi sana, mengi ambayo hayaendani na masuala yako.. hivyo nivyo tunavyotafuta maendeleo....
 
Huyu ndo miongoni mwa wale Ngo.mbe...
Akili zao ndizo zilivyo..
hahahaha
 
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga

;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli

Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzwa

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.

: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.

Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??

Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!
Chadema ipi inayopinga maendeleo ya wananchi??? Acha kufanya uchochezi humu. Chama Cha Maboya mnaamini kama hii nchi ni yenu pekee yenu,yaan kama vile hamtakufa,Mwenye mlengo tofaut na hicho chama chenu mnamuona kama mkimbizi vile. Elimu buree,sasa hao unaowaabudu wew wanawasomesha watoto wao kweny hizo shule za elimu bure???
 
Wanatamani serikali isiteleze mambo ya wananchi.. Ili wapate vya kusema, ha ha ha
 
Nyie msiopinga kila kitu waacheni wanaopinga mambo ya hovyo waendelee kupinga. tatizo lenu nyie ni nini?
 
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!

Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!

;Chadema ya leo wanapinga

;Elimu bure

;Ujenzi flyover

;Ununuzi wa ndege

;Ujenzi wa reli

Bei ya zao lá korosho kupanda

;Serikali kuhamia Dodoma

;Wakwepa kodi kufukuzwa

;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.

: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.

Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.

Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??

Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!

Aisee ni bora Viroba virejeshwe kwa mwenendo Huu..
 
Kila mtu aubebe msalaba wake. Haiwezekani upuuzi muufanye CCM madhara tuyapate wananchi wote. Hili la mchanga mjiandae na la gesi pia laja.
 
Hata kipindi upinzani ukipiga kelele tunaibiwa ccm waliwaita upinzani waongo lakini baada tume mmegeuka na kusema mlikuwa mnaibiwa
 
Back
Top Bottom