rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
kuna hatari tumeanza kuiona toka mbali,inawezekana Umoja wa Ulaya ukavunjika,Greese tayari imeonyesha dalili za kujiondoa kutokana na madeni makubwa inayoikabili,kinachotazamwa sasa hivi ni nani atafaidika iwapo Ulaya itavunjika,inaaminika strongest economic eurozone Germany ndiye atakaye faidika zaidi,tunachofikiri kama Euro itavunjika je East africa itapona?je kuna haja ya kutegemea huu muungano wetu ambao umegubikwa na kutokuaminiana?soma zaidi hapa:::www.en.for.ua.news