Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

Mkuu huwa unasikilizaje taarifa hili ndilo tatizo la UDINI hukusikiliza hadi nukta ya mwisho kwasababu ulijawa na udini wa kwanini Redio Iman imefungiwa, kwa taarifa yako Redio Clouds FM imetiwa faini kwa kushabikia ushoga jambo ambalo ni kinyume na maadili ya Tanzania. Iman kama kawaida wakati wa Sensa redio hii ilihamasisha waislam wasishiriki sensa eti ni nje ya imani ya Kiislam. Biblia yangu inasema Mariam na Yusuf walisafiri toka Misri hadi Bethlehem kwenda kushiriki sensa. Redio Neema FM ilishabikia uchinjaji wa nyama kuwa ni haki ya Wakristo kuchinja jambo ambalo wale waliosikiliza walihamasika na kufanya vurugu hadi kuleta maafa. Hata hivyo Redio zote tatu wameambiwa wako huru kukata rufaa kama hawajaridhika na hukumu hiyo.
Matokeo ya rufaa ni kwamba ikiwa rufaa itashindwa ikatakiwa Iman na Neema waendelee na adhabu basi adhabu itakuwa mara mbili yake. Clouds nayo itaambulia double hiyo hiyo. Tusubiri.
My take: Nimefurahi sana redio hizi kupewa adhabu tena ninadiriki kusema kuwa adhabu walizopewa ni ndogo sana.
walisafiri toka misri kuhudhuria sensa bethlehemu?..hebu karudie tena kusoma.
 
hapa naona ni inferiority complex inasumbua watu watalalamikia kila jambo hata kama lina ukweli.
TCRA imefanya vizuri lakini imechelewa na imegusa tu juu ilibidi hata magazet ya shigongo yachukuliwe hatua kwa kuharibu jamii
 
Technically ukristo uko vitani na uislamu tangu wakati wa crusade,kilichobadilika ni mbinu tu za hayo mapigano.baada ya kuona wanapoteza frontline kiasi cha kuloose mpaka spain,wakaja na mbinu mpya ya convertwarfare agaisnt muslim and islamic states all over the world.
Mbinu wanayotumia sasa ni Inftrate and distablise,divide and rule.
That is why nchi nyingi za kiislamu ziko in chaos.
Mfano libya,syria etc.macrusader wanafinance na kuwapa silaha baadhi ya watu ili waharibu amani katika nchi hizo ili kuzidhofisha na ziwe easy target kwao.lengo ni kuwa One world government ,one globo religion.

Mbya zaid,hawatafanikiwa

Among the reasons for the rapid and peaceful spread of Islam was the simplicity of its doctrine - Islam calls for faithonly One God worthy of worship. It also repeatedly instructs man to use his powers of intelligence and observation
Taj Mahal, India. Hui Shen Mosque, China, Built in the 7th Century. Within a few years, great civilizations and universities were flourishing, for according to the Prophet, 'seeking knowledge is an obligation for every Muslim man and woman'. The synthesis of Eastern and Western ideas and of new thought with old, brought about great advances in medicine, mathematics, physics, astronomy, geography, architecture, art, literature, and history. Many crucial systems such as algebra, the Arabic numerals, and also the concept of the zero (vital to the advancement of mathematics), were transmitted to medieval Europe from Islam. Sophisticated instruments which were to make possible the European voyages of discovery were developed, including the astrolabe, the quadrant and good navigational maps.
 
tuvumilie tu inshallah,baada ya miezi sita LIBENEKE LITANEDELEA KAMA KAWAIDA.
MAANA REDIO IMAAN IMETUFAHAMISHA MAMBO MEENGI SANA,NA WANAOSEMA BORA IMEFUNGIWA,AU IFUNGIWE DAIMA HAWANA HOJA,MAANA KAMA REDIO HUIPEND USIISIKILIZE,MBONA KUNA WATU WANADAI HAWAISKIZI CLOUDS HAPA,ANAYEONA REDIO IMAAN KERO,ASIIFUNGUE KUSKIZA
jamani nimefurahi,kumbe MUNGU anasikia maombi,oh!haleluya!
 
nawasiwasi ktk kuchangia.Siamini kama kweli alieandika mada hii ni muislamu kweli maana naona makosa mengi ktk ua ndishi napata ushawishi kuwa kunamtu/watu wamejipanga kuuchafua uislamu kwa makusudi..sijui tunaenda wapi yani kila kukicha ni dini yako mbaya..mara gaidi mara kafiri mara sijui nini!!
Inamaana sisi Watanzania tunaijua sana dini kuliko waliozileta? maana sikuhizi kila uchao ni matusi mfululizo na kukashifiana kama sio dini basi ukabila hadi masaa ishirini na manne yanaisha na ukiangalia utaona ni walewale kila siku.
Natoa tena wito kuwa tukiendelea na tabia hii ipo siku ndugu tutauwana wenyewe kwa wenyewe na sijui ni kizazi kipi tunachokijenga..maana mimi nikiangalia kwa upande wangu ndugu zangu nusu wanatoka uislamu na nusu ni wakristo kwa hiyo nitaendelea kupinga na kupambana na wote wanaoeneza chuzi za kidini.
Pia sometimes nakuwa na wasiwasi kama mods wanafanya kazi zao ipasavyo hivi ni kwanini wasiwe wanazipiga bana threads zote zinazotoa kashfa za kidini?? kwani kwa mtazamo wangu hii ni sumu kali sana inaenezwa ma watu wenye fikra na changa. .hivi nchini humu kwa sasa tunamambo mangapi ya kujadili ambayo tumeyaweka kando? sijawahi ona ktk mijadala ya nchi za majirani wakizungumzia udini bali sisi tu watanzania,inaonyesha ni jinsi gani tulivyo wabinafsi na wenye roho mbaya kwani tumetawaliwa na umimi usiomithilika.Na inaonyesha jinsi gani elimu yetu mbovu isivyotusaidia maana nina imani JF kuna watu wenye upeo mkubwa na ambao wanaweza kuleta mabadiliko ya kweli na maendeleo ktk nchi yetu ambayo ukiangalia ni zaidi ya asilimia 80 hawajabahatika kupata elimu lakini ndio kumekuwa chanzo cha matatizo yote ya chuki, lugha mbovu, utovu wa nidhamu kwa viongozi wetu,uzinzi na mengineyo mengi.Wakati najiunga JF 2009 kwa waliokuwepo watakubaliana na mimi ni hoja za namna gani zilikuwa zikijadiliwa humu na jinsi gani zilikuwa chachu ya kuiamsha serikali na wengineo waliolala juu ya kujitambua n.k.
Nisiweke maneno mengi ila nasisitiza tu kuwa sisi wanajamii na serikali inapaswa tupige vita wote wanaoleta chuki mbalimbali ndani ya jamii zetu na wakati mwingine huwa nahisi kuwa wachochezi wa kidini si watanzania halisi..maana hatukuwa hivi hapo zamani.Tafadhali mtuache na nchi yetu kwani tulishazoea kula, kuzikana na kufurahi pamoja.Mungu awalaani wote wote wenye chuki za kidini na malengo yao yasitimie.Mungu ibariki Tanzania
 
walisafiri toka misri kuhudhuria sensa bethlehemu?..hebu karudie tena kusoma.

"1 In those days a decree went out from Caesar Augustus that all the world should be registered. 2 This was the first registration when Quirinius was governor of Syria. 3 And all went to be registered, each to his own town. 4 And Joseph also went up from Galilee, from the town of Nazareth, to Judea, to the city of David, which is called Bethlehem, because he was of the house and lineage of David, 5 to be registered with Mary, his betrothed, who was with child."

Luke 2:1-5

cc: Bubu Msemaovyo
 
Last edited by a moderator:
wanapoamua kufanya jambo walitakalo hawashindwi hapa duniani lakini haki itapatikana na ndio maana dunia haitakuwa sehemu salama, na zinatakiwa radio zinazotangaza ushoga na usagaji. TBC ndio maana inayafanya ya kijinga kwa vile wajinga wengi watakuwa ktk mtizamo wa kidini huku wao wakiimarisha ufisadi
 
Kwa kweli imeniuma sana kufungiwa redio imaan naipenda sana. Sababu iliyotolewa haitoshelezi kuhalalisha kufungwa kwake.
 
Mtume s w w amesema baada yangu uongozi wa makhalifa waongofu utakuwa miaka 30 kisha utawala wa kifalme mpakaa Allah atapotaka kisha utafuata utawala wa kijeshi (udictecta)mpaka allah atapotaka kisha ukhalifa utarudi.akanyamaza.enyi Watu Hamuoni utabiri wa mtume unatimia tumeshuhudia golden age ya utawala kislam (oboubakar 2,umar 12,Othman 8,Ali 5.5,Hassan 2.5)r a.tukashudia wafalme(othoman empire,na wengineo kisha tumeshuhudia watala wa kijeshi na wao wameondoka (wamebaki wachache bashar Assad Syria)na ndio ukhalifa unarudi haizuiliki jamani Hamuoni dalili za muamko aw kislam (Mali,chechen ,Libya,Sudan,Yemen,Miri,Tunisia,Afghanistan,turkey,Syria,Iraq,uk,USA,na ouropean ,Russia Algeria,na Africa kwa ujumla zote zinataka utawala wa sheria. Ya kislam chini ya ukhalifa ,amkeni enyi Watu dalili za Kiama tayari rudini kwa mola wenu mlezi na mtubu .hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Allah na muhamad ni mtume wake.

,
 
Kwani Yesu ni Mungu??

ndio Yesu ni Mungu

Huu hapa uthibitisho

Matthew 1:23 - "Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel," which is translated, "God with us."

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - "You are My witnesses," says the Lord, "And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior."
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - "To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ"

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.

John 8:24 - "Therefore I said to you that you will die in your sins; for if you do not believe that I AM He, you will die in your sins."

John 8:58 - Then Jesus said to them, "Most assuredly, I say to you, before Abraham was, I AM."

John 10:30-33 - Jesus answered them, "I and My Father are one." Then the Jews took up stones again to stone Him. Jesus answered them, "Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?" The Jews answered Him, saying, "For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God."

John 14:6-7 - Jesus said to him, "I AM the way, the truth, and the Life. No one comes to the Father except through Me."

John 14:9-11 - Jesus said to him, "Have I been with you so long and yet you have not known Me, Philip? He who has seen Me has seen the Father; so how can you say, 'Show us the Father'?"

Acts 20:28 - (God purchased us with His own blood)

Philippians 2:5-7 - Let this mind be in you which was also in Christ Jesus, who, being in the form of God, did not consider it robbery to be equal with God, but made Himself of no reputation, taking the form of a bond-servant, and coming in the likeness of men.

1 Timothy 3:16 - And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifested in the flesh, Justified in the Spirit, Seen by angels, Preached among the Gentiles, Believed on in the world, Received up in glory.

2 John 1:7 - For many deceivers have gone out into the world who do not confess Jesus Christ as coming in the flesh. This is a deceiver and an antichrist.

Revelation 1:8 - "I am the Alpha and the Omega, the Beginning and the End," says the Lord, "who is and who was and who is to come, the Almighty."

Revelation 22:13 - "I AM the Alpha and the Omega, the Beginning and the End, the First and the Last."... 22:16 - "I, Jesus, have sent My angel to testify to you these things in the churches."

Hebrews 2:17,18 - "Therefore, in all things He had to be made like His brethren, that He might be a merciful and faithful High Priest in things pertaining to God, to make propitiation for the sins of the people. For in that He Himself has suffered, being tempted, He is able to aid those who are tempted."

1 Peter 2:24
- "who Himself bore our sins in His own body on the tree, that we having died to sins, might live for righteousness - by whose stripes you were healed."
He went from sovereignty to shame and from deity to death? Why!? For you.
John 15:13 - "Greater love has no one than this, than to lay down one's life for his friends."
Romans 5:8 - "But God demonstrates His own love toward us, in that while we were still sinners, Christ died for us."
 
By mpemba mbishi
Kwani Yesu ni Mungu??

ndio Yesu ni Mungu

Huu hapa uthibitisho

Matthew 1:23 - “Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel,” which is translated, “God with us.”

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - “You are My witnesses,” says the Lord, “And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior.”
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - “To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ”

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.

John 8:24 - “Therefore I said to you that you will die in your sins; for if you do not believe that I AM He, you will die in your sins.”

John 8:58 - Then Jesus said to them, “Most assuredly, I say to you, before Abraham was, I AM.”

John 10:30-33 - Jesus answered them, “I and My Father are one.” Then the Jews took up stones again to stone Him. Jesus answered them, “Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?” The Jews answered Him, saying, “For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God.”

John 14:6-7 - Jesus said to him, “I AM the way, the truth, and the Life. No one comes to the Father except through Me.”

John 14:9-11 - Jesus said to him, “Have I been with you so long and yet you have not known Me, Philip? He who has seen Me has seen the Father; so how can you say, 'Show us the Father'?”

Acts 20:28 - (God purchased us with His own blood)

Philippians 2:5-7 - Let this mind be in you which was also in Christ Jesus, who, being in the form of God, did not consider it robbery to be equal with God, but made Himself
 
By mpemba mbishi
Kwani Yesu ni Mungu??

ndio Yesu ni Mungu

Huu hapa uthibitisho

Matthew 1:23 - “Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel,” which is translated, “God with us.”

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - “You are My witnesses,” says the Lord, “And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior.”
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - “To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ”

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.

John 8:24 - “Therefore I said to you that you will die in your sins; for if you do not believe that I AM He, you will die in your sins.”

John 8:58 - Then Jesus said to them, “Most assuredly, I say to you, before Abraham was, I AM.”

John 10:30-33 - Jesus answered them, “I and My Father are one.” Then the Jews took up stones again to stone Him. Jesus answered them, “Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?” The Jews answered Him, saying, “For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God.”

John 14:6-7 - Jesus said to him, “I AM the way, the truth, and the Life. No one comes to the Father except through Me.”

John 14:9-11 - Jesus said to him, “Have I been with you so long and yet you have not known Me, Philip? He who has seen Me has seen the Father; so how can you say, 'Show us the Father'?”

Acts 20:28 - (God purchased us with His own blood)

Philippians 2:5-7 - Let this mind be in you which was also in Christ Jesus, who, being in the form of God, did not consider it robbery to be equal with God, but made Himself of no reputation, taking the form of a bond-servant, and coming in the likeness of men.

1 Timothy 3:16 - And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifested in the flesh, Justified in the Spirit, Seen by angels, Preached among the Gentiles, Believed on in the world, Received up in glory.

2 John 1:7 - For many deceivers have gone out into the world who do not confess Jesus Christ as coming in the flesh. This is a deceiver and an antichrist.

Revelation 1:8 - “I am the Alpha and the Omega, the Beginning and the End,” says the Lord, “who is and who was and who is to come, the Almighty.”

Revelation 22:13 - “I AM the Alpha and the Omega, the Beginning and the End, the First and the Last.”... 22:16 - “I, Jesus, have sent My angel to testify to you these things in the churches.”

Hebrews 2:17,18 - “Therefore, in all things He had to be made like His brethren, that He might be a merciful and faithful High Priest in things pertaining to God, to make propitiation for the sins of the people. For in that He Himself has suffered, being tempted, He is able to aid those who are tempted.”

1 Peter 2:24
- “who Himself bore our sins in His own body on the tree, that we having died to sins, might live for righteousness - by whose stripes you were healed.”
He went from sovereignty to shame and from deity to death? Why!? For you.
John 15:13 - “Greater love has no one than this, than to lay down one's life for his friends.”
Romans 5:8 - “But God demonstrates His own love toward us, in that while we were still sinners, Christ died for us.”
Andy all u deserve is a mighty heaven..!!! God Bless u
 
ndio Yesu ni Mungu

Huu hapa uthibitisho

Matthew 1:23 - “Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel,” which is translated, “God with us.”

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - “You are My witnesses,” says the Lord, “And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior.”
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - “To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ”

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.

John 8:24 - “Therefore I said to you that you will die in your sins; for if you do not believe that I AM He, you will die in your sins.”

John 8:58 - Then Jesus said to them, “Most assuredly, I say to you, before Abraham was, I AM.”

John 10:30-33 - Jesus answered them, “I and My Father are one.” Then the Jews took up stones again to stone Him. Jesus answered them, “Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?” The Jews answered Him, saying, “For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God.”

John 14:6-7 - Jesus said to him, “I AM the way, the truth, and the Life. No one comes to the Father except through Me.”

John 14:9-11 - Jesus said to him, “Have I been with you so long and yet you have not known Me, Philip? He who has seen Me has seen the Father; so how can you say, 'Show us the Father'?”

Acts 20:28 - (God purchased us with His own blood)

Philippians 2:5-7 - Let this mind be in you which was also in Christ Jesus, who, being in the form of God, did not consider it robbery to be equal with God, but made Himself

Well said
 
nilikipenda kipindi cha redio iman na magazeti tu vipindi vingine vyote ilikua pumba tu na uchonganishi
 
Back
Top Bottom