Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

Wangejenga kama Ccm ila hesabu zingekua za kichina kama Ccm maana wote ni wapigaji hamna mwenye hafadhali kila mtu anatafuta upenyo wa kula keki ya taifa kwa pupa
 
Wangejenga kama Ccm ila hesabu zingekua za kichina kama Ccm maana wote ni wapigaji hamna mwenye hafadhali kila mtu anatafuta upenyo wa kula keki ya taifa kwa pupa
Eti wapigaji wote. Kwani serikali inaongozwa na chama gani? Miaka zaidi 60 tumeongozwa na CCM /TANU , wewe Leo unadai CHADEMA ni wapigaji. Wameongoza serikali lini?
 
Aisee Kuna watu wa ajabu duniani .
😂😂😂😂😂😂
Kumbe kunajitu huku linajua fedha za maendeleo ya nchi zinatolewa na chama duuuh.
 
Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
We ni mbwiga kweli kweli, unafikiri miradi ya maendeleo inajengwa kwa ruzuku na michango ya, wanachama?
Watakuwa, na, TRA kwanini, washindwe? Au, unafikiri ccm ikitoka madarakani inaondoka na TRA, polisi, jwatz?hivi ni vyombo vya serikali sio chama, vinatumiwa na chama vibaya tu,
 
Hiki kinembe bure kabsaa, ccm inapokea sh? Kwa mwezi? Na kwa mwaka huu tu imefanya nini?
 
Eti wapigaji wote. Kwani serikali inaongozwa na chama gani? Miaka zaidi 60 tumeongozwa na CCM /TANU , wewe Leo unadai CHADEMA ni wapigaji. Wameongoza serikali lini?
Chadema wanapiga ruzuku za wabunge waliowakataa wangekua hawana tamaa wasingechukua ruzuku za kina halima mdee wakati wamewafuta uanachama
 
Back
Top Bottom