Kama binaadam ameumbwa kutokana na udongo, vipi kuhusu wanyama wengine na mimea?

Ushahidi upo tena ulokamilika Ndugu binadamu Hana la kumzidi Mnyama wote tu mavumbi Na wote tunapumua pumzi ya Mungu. Soma Mhubiri 3:19-21
 
Wanyama na mimea, Mwenyezi Mungu mkuu Mtukufu alisema kuwa na vikawa..
Mfano, na wawepo Wanyama basi kumuomba na kufumbua wakawa

Iwepo bahari na samaki na kumbe wengine nayo ikawa

Ivyo ivyo kwa mimea,

Wasalaam
 
Mzimu wa Kolelo katika Ubora wake
Sikujua kumbe hata Maana ya Ushaidi hujui?
BWANA einstein newton ulitaka nilete sample za huo udongo uupime ili tupate kuujua kuwa ni mfinyanzi au kichanga ama ulitaka ushaidi gani mana ushaidi mnaotaka nyinyi nashindwa kuelewa ni upi mnaoutaka
ikiwa vyote unavyovijua wewe umevikuta ama umehadithiwa au kuvisoma
labda nikuulize swali moja
story ya vita ya majimaji unaijua yaan ushapata kuisoma ama kuisikia
 
Mwanzo 1:11-12 mimea na miche iliumbwa kwa kutamkwa.
mwanzo 1:20-22 wanyama wa baharini na ndege wa angani waliumbwa kwa kutamkwa.
Mwanzo 1:24-25 wanyama wote wa nchi kavu, wafugwao na wa mwituni waliumbwa kwa kutamkwa.
mwanzo 1:26 binadamu anaumbwa kwa kufanywa
Mwanzo 2:7 binadamu aliumbwa kutokana na mavumbi (Maelezo ya namna alivyofanywa/umbwa)
 
Kwahiyo unaiamini biblia mkuu?
 
Kwahiyo hii inathibitisha kuwa mwanadamu ameumbwa na Mungu?
bila shaka kama quran ilielezea uundaji na ukuaji wa mimba toja miaka 1400 iliyopita na teknolojia sayansi inekuja kugundua ukuaji wa maendelo ya mimba miaka ya hivi karibuni kipi kinachokufanya wewe usiamini kuwa binadamu tumeumbwa na mungu
au bado ndo mnaamini kuwa QURANI NA INJIRI YA YESU KRISTO WA NAZARETI ni vitabu vya hekaya tu kama za abunuasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom