Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

Kwenye mambo yake 10 basi lipo moja ambalo linatosha kabisa kumpenda nalo hilo na amani kutawala ndani ya nyumba! NB: Mkamilifu hakuna tuvumiliane madhaifu yetu
 
Unajua ulinitambulisha kwa huyo mtu kwamba ndio shemeji, Mimi kama kaka nikalidhia. Sasa unanichanganya leo πŸ˜…πŸ˜…
Usichukulie serious kabisa maisha yangu ya humu nina wachumba 12🀣🀣🀣🀣🀣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom