hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
NI KITU GANI KILICHOKUFURAHISHA/KUKUCHEKESHA WIKI HII? Tupia hapa na wote tufurahi pamoja!
wiki hii nimechokonoa masikio kwa mara ya kwanza kabisa tangu nizaliwe.. daah! utamu wake nashindwa hata kuelezea..
ah,me cjaipenda kbsa wiki hii. make nimekuwa busy na kusoma kwa ajili ya mitihani next week. nauchukia kweli huu mwezi wa 5!
Teh teh teh teh teh teh! prof. Wenu ndo yule amekunywa maji ya bendera ya nchi hii. Na ana uchungu kwel na hii nchi. Kama ulikula gud tym sana atakudaka tu!ah,me cjaipenda kbsa wiki hii. make nimekuwa busy na kusoma kwa ajili ya mitihani next week. nauchukia kweli huu mwezi wa 5!