Kali ya mchaga:wet zipo makabila mengine bwana hii imenichekesha sana

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Nimecheka sana jana
ndani yameli watu wa makabila na uraia tofauti walikuwa na mizigo,meli ikazidiwa uzito ikabidi kila abiria apunguze mzigo,
mzungu akatupa computer akasema 'kwetu zipo tele'
mchina akatupa box la simu akasema 'kwetu zipo tele'
mmasai akatupa shanga akasema hizi zipo kibao kwetu
mhindi akatupa box la tambuu
mchaga akabaki anahaha atupe ninikila kitu chake anakionea uchungu ghafla akamtumbukiza mmasai akasema yesu na maria hawa wapo tele arusha

wewe ungetupa nini ndugu yangu ?????????
 
kama vipi unawatosa tu hao Wadosi...si wamejaa kibao tu location za k'koo, upanga ....
 
Mentor samahani sana najua umenilike kimya kimya mbontafo clemeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom