Kakobe alilofanya halina tofauti na masheikh wa uamsho

Kama unatamani jamaa avurugiwe dira nakuambia Anza kushona suti maana hakuna rangi hatakaa asiione 2018 na SI yeye Tu bali matapeli wote wa kiroho.

Mark my words.
Kwani serikali ndio Mungu? Mpaka ukasema matapeli wa kiroho. Unajua umejaa uoga na hofu katika kuishi kwako, ambako hata yatakayotokea kwako nukta moja tu mbele huyajui. Leo umekula wali na maharagwe unaongelea mambo ya miezi 6 mbele, pole sana. Wakishindwa hao kututetea au kupaza sauti zao, Mungu atainua mawe.
 
Kwani kwa kiongozi kuambi kutubu kunakosa mbona Jk alikosolewa hakukuwa na shida
Waislamu wanafki na waoga tena tumejaa husda tupu. Hapa suala ni serikali kuendeshwa kidikteta, Askofu Kakobe katoa mwanga ili watu tuamke, sasa sisi tumekuja na hoja za dini tena. Wakati wa utawala wa JK zilikuwa zinatolewa kila aina za nyakala kuikosoa na kuishauri, sikuwaona waislamu kukemea wala nini.Sheikh Ponda ametokea kututsemea wote tukageuka mabubu, leo mnaanza tena kujipendekeza kama 2010 tulivyoingizwa mkenge kwenye mahakama ya Kadhi. Tukae tujitafakali ili Mungu awe upande wetu. Takbiri!!
 
Kwani serikali ndio Mungu? Mpaka ukasema matapeli wa kiroho. Unajua umejaa uoga na hofu katika kuishi kwako, ambako hata yatakayotokea kwako nukta moja tu mbele huyajui. Leo umekula wali na maharagwe unaongelea mambo ya miezi 6 mbele, pole sana. Wakishindwa hao kututetea au kupaza sauti zao, Mungu atainua mawe.

Kuwajua matapeli mpaka Mungu?

Mbona bible yenyewe imetahadharisha juu ya kuja kwao?

You're too blind to see,unatetewa na Kakobe?

Pole kwa familia yako.
 
Inashangaza mpaka muda huu huyo mwanasiasa anaehubiri siasa zake makanisani hajakamatwa na kufunguliwa kesi ya uchochezi ,

ikiwa masheikh wa uamsho,sheikh ponda wao walifanya hayo kwa maslahi ya mali za waislamu kwa serikali

Polisi mnamgwaya kakobe kwakua ana pesa kuliko serikali au anawafuasi wengi ni ccm mkimkamata mtakosa kura,
mchezo mnaocheza serkali hauna fair hata kidogo yangekuwa mambo hayo yamesemwa msikitini
saa hii huyo sheikh angekua segerea na hata rais angemuhukumu kua ni gaidi

Hatujasahau miaka ya nyuma askari walipoingia mwembe chai msikitini,
tunahitaji haki itendeke tumuone kakobe nyuma ya nondo.
Nchi imezoea kulinda madhehebu fulani na hili ndio mwisho wake huu watu wamekaa kuwaangalia mchochezi wa kanisani atachukuliwa hatua gani sio kutishia mtafuta taasisi huo ni upuuzi na utoto
Swali hapa kuna tofauti gani kati ya uchochezi wa kakobe na masheikh wa uamsho!
Umesema halina tofauti na mashehe wa uamsho, hao mashehe walimwambia rais akatubu?
 
Joho ndilo linaloongoza nchi hii hivyo wengine ni magaidi siro na magwanda yake angeongoza operation mwenyewe ya ugaidi!
Narudia tena, hapo ndio umekomea na sijui nani kakuwekea komeo la kufikiria nje ya hapo. Ulimwengu huu haujawahi kuongozwa na joho unalolijua wewe pekee. Tafakari
 
Your comparison is spot on, however, your conclusion is utterly rubbish!

Badala ya kuongea Masheikh watolewe na wawe huru kama Kakobe, wewe unashikilia Kakobe akamatwe na kwa maana hiyo walichofanyiwa masheikh ni sahihi.
 
Labda nikusaidie masheikh Wa uamsho kosa lao walijaji MUUNGANO .
kAKOBE akuoji MUUNGANO .
 
Kwasababu walifanya makosa tena ya kihaini na mauaji ya kijihad wakati serikali haina dini! Na sijui unahojije kesi iliyopo mahakamani na mamlaka zikakuacha salama mtaani? Iache mahakama ifanye kazi yake ikiwa na akili huru! Wewe acha Polisi wakuchukue ukamalize na kuanza mwaka segerea kwani unafikiri wanaangalia ukada kwenye kuvunja sheria!
Kesi ya kihaini walifanyia wapi kama ilikua si kuumbusha umma!
 
Kuwajua matapeli mpaka Mungu?

Mbona bible yenyewe imetahadharisha juu ya kuja kwao?

You're too blind to see,unatetewa na Kakobe?

Pole kwa familia yako.
Pole wewe, usiejua unachoongea.
 
Tujibu hoja za kuitishia serikali??
Ati siogopi mtu mimi
Napesa kuliko serikali
Hata kanisa langu likifungwa ntahama na waumini wangu
Usalama wa Taifa msinifatefate mimi
HAYA TUSHAURI TUJIBU HOJA GANI HAPO MKUU????

Huyu alianza kuibeza serikali yetu tangia awamu iliopita lkn cha kustaajabisha anaangaliwa tu analolifanya
Lkn ingekua SHEIKH hapo saa hii yupo SEGEREA kwa kesi ya uchochezi na kuikashifu serikali
Huo Ndio Ukweli Uliopo
Kosa lake hapo linakujaje?
 
Nihayo tuu ndiyo aliyo yaongea? afu bahati mbaya sana kwasabau ya ukurupukaji clip hyo inayozungumzia mambo hayo niyamiaka mingi enzi za jk.hoja yakakobe ya mwakahuu nikumtaka mkaza vyuma atubu kwakuikanyaga katiba ya nchi aliyo apa kuilinda,afu kitukngine kipndi maaskofu wamekaa kimya kulikuwa na minong'ono mara ooh maaskofu hawamkemei huyu kwasababu nimkristu angekuwa muislamu wangeshasema, wamekohoa kidogo tuu mmeanza kelele tena HIV msimamo wenu n upi sasa mbona hamueleweki? harafu mahakama zipo kama mashekh wa uamusho walionewa nendeni mahakamani vinginevyo mtapata tabu sana.
Uko mbali ww
 
kipara kipya Pole sana kwa mihemko isiyo na tija na kwa kuwa na wivu kuona wengine hawafanikiwi bali raha yako ni kuona tu wako kwenye Nondo hii ni ajabu sana,inaonyesha ni jinsi gani ulivyo tupu!!!
 
Mleta mada umejichanganya sana katika hoja yako. Ulitakiwa kuja na hoja ya kuwatetea hao masheik wa uamsho kwamba wameonewa nahakika ungepata sapoti ya mawazo mengi ya kukuunga mkono.

Kwa hoja yako kwamba Kakobe naye awekwe ndani kama masheik wa uamsho umeonekana mdini tu huna hoja, umewapoteza watu, hata wale ambao wangetaka kujua kama masheik walionewa au la. Kwa maana nyingine umewasabibishia masheik kukosa sapoti ya watu. Hukumbuki kuwa Lowasa alitoa ahadi ya kuwaachia hao masheik endapo angechaguliwa? na watu wakashangilia? Unafikiri watu walioshangilia walikuwa waislam peke yao?

Kakobe hajazungumza kwa niaba ya wakristo kaongea kwa ujumla kwa watu wote wanaoounga mkono hoja yake, aidha mkristo, muislam, mhindu, n.k...

Kwani naye Kakobe akienda kufungwa kama hao masheik hao masheik au waislam mtafaidika na nini? Sanasana ndo nguvu itazidi kupungua hakuna atakaye baki kutetea mwingine.

Minilitegemea labda ungewaambia masheik waliopo uraiani nao wapaze sauti zao kama Kakobe. Wakristo hawajasababisha hao masheik kuwekwa ndani na hawajui makosa yao.

Kwa maandishi yako una maanisha kuwa masheik hawajaonewa kuwekwa ndani yaani wanastahili hiyo adhabu, isipokuwa unachodai ni kwamba na Kakobe naye awekwe ndani kama hao masheik. Sijui itakusaidia nini.
 
kama aliyoyasema kakobe kanisani yangesemwa na sheikh saa mshike mshike wala usingewezekana kiufupi masheikh wanaonewa!
 
Back
Top Bottom