Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Kagera Sugar na Yanga Sports Club utakaochezwa saa 10 jioni Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 46 (kama sijakosea) wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Kagera Sugar akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club.

Karibuni Dimbani
 
Mihogo day
JamiiForums-1148836712.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom