Kagame aje kuwapatia wanasiasa wetu semina elekezi

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kufungua kampuni Rwanda ni Bure/FREE (ukifanya online)

Wameweka muda wa kusubiri kwenye foleni maximum ni dakika 25...halafu wamepiga na hesabu hatua zako za miguu ukitembea hivyo usipate longo longo....




SUMMARY OF THE PROCEDURES


WHERE TO GO?

You will have to go to the following agencies. The number indicates how many interactions are required with each entity.


Rwanda Development Board x 2 (Nadhani hii ndio BRELA yao) hawataki kiwingu cha wewe kwenda pale kila kukicha








WHAT YOU WILL GET

The objective of the procedure is to obtain those documents.


Certificate of domestic company registration


Stamped memorandum of association




REQUIRED DOCUMENTS

The documents with green band will be provided to you during the procedure.



Natural persons
Legal persons
Representatives

Domestic company application form

1​


Memorandum of association form

1​


Proof of identity x 2

1​

1​


Receipt slip (domestic company)

2​


HOW MUCH?

This list shows the costs in all steps of the procedure.


Estimated cost of the procedure RWF 15,000

RWF 15,000 (for incorporation fees)

HOW LONG ?

The estimated total time is calculated by adding the time spent: 1) waiting in queue, 2) at the counter and 3) between steps.

min.max.
Total time (sum):1 d1 d
of which:
Waiting time in queue (sum): 25mn
Attention at counter (sum): 15mn 35mn
Waiting time until next step (sum):1 d




286vldy.jpg
 
Ufisadi is deeply entrenched in our society, kila kitu ni dili. Mwizi wa mali ya umma tunamsifia. We need to have a good dictator for a while to change things starting at the grassroots level.
Hatuwezi kuendelea kufikia ngazi ya Rwanda tukiwa na wabunge kama John Komba, mawaziri kama Nchimbi na rais kama wa sasa.
 
Na aje atufundishe pia namna nzuri ya kudhibiti wapinzani hasa chadema kwa "kuwapoteza" na wandishi wa aina ya kubenea bila watu kujua kwamba "wamepotezwa" na serikali
 
Na aje atufundishe pia namna nzuri ya kudhibiti wapinzani hasa chadema kwa "kuwapoteza" na wandishi wa aina ya kubenea bila watu kujua kwamba "wamepotezwa" na serikali

Hivi mkuu kwa nini una chuki na CDM kiasi hicho? Wewe si ndio ulikuwa unatoa ushauri kwa Dr Slaa agombee Arumeru?
 
Hivi mkuu kwa nini una chuki na CDM kiasi hicho? Wewe si ndio ulikuwa unatoa ushauri kwa Dr Slaa agombee Arumeru?

Haswa ndo mimi,lakini hapa nilikua nataka kuwasilisha ujumbe kwa vijana ambao hawaujui upande wa pili wa huyo kagame ambae anaitawala ile nchi kwa mkono wa chuma,wapinzani wamekua wakipotea katika mazingira ya kutatanisha wanahabari wanaoikosoa serikali yake nao halidhalika,kwa hiyo kama tunataka aje hapo ndio nikawa natoa angalizo tujiandae na upande wake wa pili pia,sawasawa??
 
Hivi mkuu kwa nini una chuki na CDM kiasi hicho? Wewe si ndio ulikuwa unatoa ushauri kwa Dr Slaa agombee Arumeru?

wapenzi wa aina ya nyie ndio mnaiua chadema.....wale wako pale kwa ajili ya deal tu, usipofumbua macho utafumbuliwa na mwanao......wabane wafanye your wish, otherwise you will be crying that everyone is against cdm!!
 
Kagame amejifunza mengi toka kwa hayati Mwal Nyerere ila tu yeye anasimamia uchumi wa kibepari wakati Nyerere alisimamia uchumi wa kijamaa.
Hata Nyerere angesimamia uchumi wa kibepari bado andefanya vizuri kuliko Kagame.
Hawa watu wawili wanaweza kuwa na asili moja. chunguza sana maumbo yao na akili zao na namna wanavyojishusha.
 
wabongo kwa kuzua tuu hamuna mfano

HUwezi kusajili kampuni bure

na haiwezekani kusajili kampuni ikachukua dakika 30

acheni uwongo
 
Kagame is my role model after all he was crafted by Mwl.
Mtu wa aina yake ndo anaitajika kwa Tz ya leo
 
Back
Top Bottom