Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

Why watu wengi wanaoonekana akili kubwa wakipata teuzi wanajigeuza chawa waandamizi na kusahau walikotoka. Ie Kafilika, mkumbo .
 
Daah kweli ukishindwa kujitegemea lazima uwe mtumwa huyu ndugu asinge ajiriwa angekua anafanya biashara zake kubwa hata za kimataifa asingekua mtumwa wa kuongea uongo mzito kiasi hiki Mungu amsaidie.
Biashara aijulie wapi

Ova
 
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL

View attachment 2945755
Takwimu za serikali ya Tanzania mimi huwa siziamini sana,nyingi za kubumba,nadhani ata World bank na IMF kipindi fulani walishatilia shaka taarifa za kiuchumi za Tanzania.
Kwa mfano sasa hivi wanakwambia mfumuko wa bei ni zaidi ya 3% lakini ukija kwa street mambo ni tofauti sana!
 
Takwimu ni ratios so huwezi kukaa eneo moja ukakubaliana nazo
Takwimu za serikali ya Tanzania mimi huwa siziamini sana,nyingi za kubumba,nadhani ata World bank na IMF kipindi fulani walishatilia shaka taarifa za kiuchumi za Tanzania.
Kwa mfano sasa hivi wanakwambia mfumuko wa bei ni zaidi ya 3% lakini ukija kwa street mambo ni tofauti sana!
Takwimu za serikali ya Tanzania mimi huwa siziamini sana,nyingi za kubumba,nadhani ata World bank na IMF kipindi fulani walishatilia shaka taarifa za kiuchumi za Tanzania.
Kwa mfano sasa hivi wanakwambia mfumuko wa bei ni zaidi ya 3% lakini ukija kwa street mambo ni tofauti sana!
 
Tatizo la Tumbuli ni kuwaza bila teuzi hawezi kuishi, mke mwenyew ashamkimbia!
Mwanamke anayejielewa hawezi penda mwanaume mpenda miteremko (kitonga)!
 
Back
Top Bottom