Kafulila ana hoja nzito

Cyprian shayo

Member
Sep 25, 2011
17
0
kafulila amejipanga kukusanya maoni kutoka kwa wafuas wake juu ya kuanzisha chama kipya kiitwacho haki ya mnyonge mageuzi daima
 
Isije ukawa wewe ndio Kafulila mwenyewe! Unajipanga kukusanya maoni kutoka humu Jf
 
We ka cuf lila, jipange upya ndo ulete upuuzi wako kwa great thinkers.
 
Kama hii habari ni kweli muda si mrefu tutakuwa kama DRC. Kila mtu na Chama chake.

Tena vyama vyote vilikuwa vinafadhiliwa na mabutu. Iseje kuwa wanasiasa wanaotaka kuanzisha vyama, vyote vikawa vinafadhiliwa na ccm, kama vilivyo cuf, nccr-mageuzi, tlp.
 
kwani lazima awe mwanasiasa?si ana BBA?akawe HR sababu najua wanaofuata siasa wengi wao wamaifanya ajira....
 
kwanza ajibu tuhumu ya elimu dhidi yake tumeambiwa amegushi elimu yuko kundi moja na mafisadi wa elimu
 
alikuwa anamlilia james Mbatia kwa lipi kama anataka kweli kuanzisha chama kipya? au anapima upepo? kumlilia mbatia ni lazima uwe na roho ya kijasiri vijana wa mtaani wanaweza kukuelewa vibaya.
 
Itapendeza kama ataungalisha nguvu na Hamad Rashid wa CUF kuanzisha chama kipya kwa pamoja wote wana uroho wa madaraka
 
Back
Top Bottom