Kafulila alipomkosoa Wangwe kuhusu 'Nidhamu na demokrasia'

sasa z anatimiza umoja huo kweli maana lazima aliedit hii makala kabla haijarushwa enzi hizo kumbe demokrasia bila nidhamu ni fujo z kamata hii toka kwa bwana mdogo wetu kafurila
 
Mkuu wewe unachukuwa kiasi gani kutoka kwa Dr Slaa?

Sichkui chochote. CDM hawana ajira za namna hii.
Ila duh, jamaa ninyi mna ajira ya aina yake hapa TZ.
Sio mbaya pia kuwa na ajira. Maana ni bora kuliko kuwa jobless !!
 
MM NIKIWA MPENDA MABADILIKO NA MZALENDO NINGEPENDA KUPEWA MAJIBU KWA MASWLI YAFUATAYO
1. JE ndani ya CHADEMA kuna uhuru wa kutoa maoni ?
2. je nidhamu ya woga inafaa kujenga demokrasia ya kweli ndani ya chama?
3.je chama kinajali kanuni za kikatiba yani freedom of speech au inasemwa tu mdomoni in reality haipo?
FREEDOM OF SPEECH NI MUHMU KWA TAIFA KWANI SI LAZIMA UKUBALIANE NA YEYOTE KATIKA HOJA YEYOTE HATA KAMA AITOAE NI MH RAISI KAMA ANAKOSEA AU ANAPATIA NAPASWA KUTOA MAONI YANGU BILA KUITWA MNAFIKI NA MSALITI ILA IKAWA UHURU WANGU WA KUJIELEZA
 
wewe unayehoji ni mwanachadema au mwanaccm?
Anyway, nikujibu hivi;

chadema inaamini katika uhuru chini ya sheria zilizo za haki.
 
Back
Top Bottom