Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Kwani uncle yeye alichokuwa anapanga kumtendea mpwawe ni cha kipole? ameanzisha yeye laana imemgeuka
kila binadamu huwa anakosea...hukumu si juu yetu mkuu..hii dhambi huyo mpwa hatosamehewa milele keshavuna laana nakwambia
kama mungu angetuadhibu hivi nani angekuwepo? to me sijafurahia kweli
 
mi nina maswali....

1.asubuhi jamaa alipanda basi(chakito ) au gari lake (alilokuwa amepakia vijana wa kufededa)?

2. kwa nini walimfededa wakati hakuna ushahidi wa wazi kuwa jamaa alimkuta mjomba akimpofua mke wake ? maana mke na mjomba mtu walimkuta jamaa (mpwa kwenye gari)kando y bara bara

3. walimfededa hapo hapo barabarani mahali alipokuwa amepaki mpwa na njemba 8?

4. vipi ujenzi wa nyumba uliendelea?

5. mjomba hakwenda kushtaki maana hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba amekutwa akimpofua mke wa mpwa wake!!

6 .mpwa ana moyo kweli ..aliweza kusubiri hadi jamaa wakamaliza kazi kisha akambeba mjomba wake na kumrudisha nyumbani??..hakushiriki kumfededa mjomba?

7. huyo mjomba hana watoto wala familia ? maana huko ndani yuko peke yake na hakuna anayemwangalia na kumjulia hali?

.............
mkuu edson ukitaka niandike jinsi picha nzima ilivyokuwa ni kitabu sasa na hapa hapatatosha ila gari lake lilimfuata maeneo ya kibaha mji mdogo so yeye aliposhuka alipanda daladala hadi ujenzi na kuchukua gari lake likiwa tayari na vijana wa kazi. walimkuta njian na wakati wanafanya kazi hiyo walimvuta ndani ya pori hilo maeneo ya pangani. sijui kwanini uncle hajashtaki ila kwa wanaojua amejifungia ndani sasa sijui nini anapanga.
 
Mnashangaa kwa Mjomba? Dodoma kuna mtu alimfanyia kaka yake na mkanda VHS wakachukua wote ni matajiri wa mabasi ya Abiria Dom - Dar
Adabu na heshima sasa ipo
duh! aisee basi kumbe ni kitu common sana. ila kiukweli Mungu aniepushie mie na ukoo wangu lol! kufededa? hapana zote nitafanya kasoro dhambi hii.
 
hiyo sio dawa,huyo mwanamke kama akiamua kutembeza nyapu,atatembeza tu,labda awafedede wanaume wote,halafu huyo mwanamke hakumpenda huoy mwanaume ndo maana,angempenda wangekula bata taraaatibuuuu
 
wow!! my take
  1. mke hana makosa maana yeye kamwambia mumewe ukweli as she should. hakushauri hii adhabu itolewe
  2. mpwa katoa adhabu kali sana na i think it was to punish his uncle and to warn his wife that if she cheats that will be her fate
  3. uncle atafute psychiatrist apate ushauri nasaha ands how to move on. pia apime hospitali kama kapata infections (hopefully majibu yatakuwa -ve), kujifungia ndani hakumsaidii chochote na kunaongeza depression tuu
  4. mpwa aende kwa psychiatrist ili apewe anger management, maana kaonesha hasira iliyopitiliza. sipati picha kama angewakuta wakivunja amri ya 6.
 
Kaunga mimi si mwanasheria ila sipend kabisa adhabu za kujichukulia sheria mkononi.

mpwa angeeza kufanya hivi kwakua ameshajua basi amwambie wazi kwamba uncle unataka kuvunja ndoa yangu na sasa naenda kushtaki kwenye ukoo ili wakujue tabia yako. Binafsi naamin hii ingekuwa njia nzur ya kuanza kutatua tatizo kwani tayari ukoo ungeanza kumsuta na hata kumpa makaripio. ama vipi basi angeenda kumshtaki polis kwa kosa la kuhujumu amani ya familia yake.

Sijui koo zingine, mimi sijawahi ona kikao cha ukoo (wetu) tangia nazaliwa kinamsema any member wa familia, tunakutana kwenye sherehe na misiba tu ambapo zaidi ya kuzungumzia mirathi hakuna jingine. Anyway, mimi nimefurahi limekuwa funzo kwa wengine, kwani hata hakimu naye ni binadamu tu na ana interest zake at least humu duniani (nimechelea kusema Tanzania maana hata ulaya na america wanafanya makosa pia kwenye hukumu), anayeweza hukumu kwa haki ni Mungu peke take.
 
Una roho ngumu wewe!! hopefuly si hakimu
 
wow!! my take
  1. mke hana makosa maana yeye kamwambia mumewe ukweli as she should. hakushauri hii adhabu itolewe
  2. mpwa katoa adhabu kali sana na i think it was to punish his uncle and to warn his wife that if she cheats that will be her fate
  3. uncle atafute psychiatrist apate ushauri nasaha ands how to move on. pia apime hospitali kama kapata infections (hopefully majibu yatakuwa -ve), kujifungia ndani hakumsaidii chochote na kunaongeza depression tuu
  4. mpwa aende kwa psychiatrist ili apewe anger management, maana kaonesha hasira iliyopitiliza. sipati picha kama angewakuta wakivunja amri ya 6.

Una akili sana wewe na ninapenda unavyoanalyze majambo!
 
Maskini mjomba, hata kuptata alikuwa hajapata maskini, gfsonwin mpe pole mjomba
 
Amepata alichostahili!
Kaunga Hujambo lakini?

Mbona naona tabia yako siku hizi sio nzuri kabisa. Kwa nini unashangalia maovu lakini? Kufedheheshwa kwa mtoto wa mwanamke mwenzio unakushangilia? Kumbuka hakulamba mzigo na hela yake Tsh nane lake zimeenda.

Kaunga we Kaunga sio vizuri hivyo.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Nimeshindwa kujizuia kucheka na kukuonea huruma, jinsi unavyomsikitikia huyo bazazi wa matendo kwamba mzigo alimiss na bado mshiko ukamtoka na wakamdu; haya nimekubali sio vizuri ila kiukwelii nimefurahi! :biggrin:
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom