Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

Huyo aliyefeli hafahi kuolewa! Hata ukimwangalia kila idara atakuwa kapwaya! Kama unataka kuoa vizia waliofeli kidato cha nne! Hata huyo form four failure hafai! Tafuta hela oa wanaojitambua kuanzia form six na kuendelea
Mwambie ukweli...bikra it's there for one day utamla utamtoa ehe then what. Aya bac tumekupa tuzo wengine wote washamba we mwamba umekula bikra....so, bikra italea, bikra itaendesha familia, bikra italeta plans za maendeleo..ndo maana watu wenye fikra za ngono ngono na bikra hawaendelei ndo Hawa wazee wa alkasasus hamna kitu katika maendeleo.

Kama we ni kataa ndoa sawa, kama wewe unataka bikra na wewe uwe bikra kama dini mnazoamini zinavyosema, otherwise ni uchizi we umemla demu umetoa bikra afu unataka demu bikra yule aliyetolewa na wewe why hukumuoa, aolewe na Nani.. kingine if we sio bikra, oa mwanamke anayeweza kuleta maendeleo katika maisha yako haya umeoa after 7 drop out wa Huko Lindi wapi cjui afu ndo unakuta mshamba, elimu basic Hana, mshirikina, na bado baada ya kutoa bikra akaanza kugegedwa na wahuni wengine kwa kigezo Cha kwako haienjoy...asa utakuwa umefanya Nini.
 
Wasemaji wa ndoa za watu tumekuwa wengi sana. Halafu in reality kuna watu wengi mno wana ndoa zenye amani ila kwa sabbu mfumo una nia yake pasono basi hizi flaws zapigiwa kelele sana. Ma-MC wako booked mwaka mzima sa sijui ndo pipo zinasaliti chama au nini. Alichokiumba Mungu kamwe hakiwez pinduliwa. Too machi noizi....
 
Umekariri, siyo kila mwanamke ni wa hivyo.

Ingekuwa watu Wana akili kama zako wanawake wenye watoto wasingeolewa.

Umalaya ni hulka ya mtu, kuna wake za watu wanapigwa mjengo hovyo kuliko singles, kuna wanawake wengi tu wanajitunza na wanathamini miili yao.
Daaa....😍🙏🏽 Sana mwamba
 
Unakumbuka Mzee wetu Mzee mengi alimuoa binti K-Lyn akiwa mbichi mbichi kabisa?!
Nani alikuwa mbichi alishajiuza mpaka makasino posta pale jirani na rutheran.pia Victoria kulikuwa na baa kaliwa Sana .ashakuwa demu wa kinje wasanii ndo msururu.mara akajua kuwa lile firaji la elements akimchit Mzee akiwa hai
 
Nani alikuwa mbichi alishajiuza mpaka makasino posta pale jirani na rutheran.pia Victoria kulikuwa na baa kaliwa Sana .ashakuwa demu wa kinje wasanii ndo msururu.mara akajua kuwa lile firaji la elements akimchit Mzee akiwa hai
ulikula?
 
Nlikuwa mwanachuo kuwala dau ilikuwa dola 100 .mm nlikuwa chokolaa Tu naenda kucheza kamari pia nlikuwa na deal la kutumwa kuwapelekea msuba og wa Arusha nkazoeana na wahudumu .nlikuwa namuamkia pia ninmkubwa
 
Back
Top Bottom