Kadi za chadema

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
46
Nipo ziarani mkoani Mbeya wilaya ya Busokelo jimboni kwa John Mark Mwandosya kijiji kimoja kinaitwa Mbambo nimekutakana na makamanda wanatoa kadi za chama bure na mwitikio wake uko chini mno ni mmojammoja nilipojaribu kupekua zaidi. Nilikutaka na vijana wanacheza pool wanakwambia sisi tunaipenda CCM, nilipojaribu kudodosa kwanini nilijibiwa wameleta mfereji wa maji, umeme na shule nilipojaribu kuonekana tofauti niliambiwa sisi hatutaki vita, nilipojaribu kuuliza zaidi nimeambiwa viongozi wote wezi bora tubaki hvhv hapo ndio nikajua jeuri ya magamba
 
umejuaje umesema kweli mkuu unaakili
 
Sio udaku tembelea wilaya hiyo uone then njoo hapa jukwaani hatufanyi SIASA wengn
 
Yawezekana baadhi ya maswali yako yamejibiwa unavyotueleza LAKINI swala la kukujibu kuwa wako tayari kubaki na wezi waliowazoea si kweli. Unaonyesha ni namna gani unawafanya kuwa hawajui hadhari za wezi wa mali za umma na maisha yao.
 
Nipo ziarani mkoani Mbeya wilaya ya Busokelo jimboni kwa John Mark Mwandosya kijiji kimoja kinaitwa Mbambo nimekutakana na makamanda wanatoa kadi za chama bure na mwitikio wake uko chini mno ni mmojammoja nilipojaribu kupekua zaidi. Nilikutaka na vijana wanacheza pool wanakwambia sisi tunaipenda CCM, nilipojaribu kudodosa kwanini nilijibiwa wameleta mfereji wa maji, umeme na shule nilipojaribu kuonekana tofauti niliambiwa sisi hatutaki vita, nilipojaribu kuuliza zaidi nimeambiwa viongozi wote wezi bora tubaki hvhv hapo ndio nikajua jeuri ya magamba

Ungepekua pia kujua hao vijana mwenye elimu ya juu ameishia kiwango gani cha elimu, kwani inatakiwa ujue mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga wa wananchi. hao wanaopongeza eti wameletewa shule na nimeishawahi kuona kupitia StarTV huko uliko kutaja kuna shule ya Sekondari ya Kata ina wanafunzi 22 yaani Form 1 - 4 na mwaka jana kidato cha 4 walimaliza wanafunzi 4 huku Form 1 wakianza 30 Form 2 wakafeli 25 wakabaki 5 Form 3 Mmoja wa kike akapata mimba wakabaki 4.
Kwa hiyo inawezekana hao vijana uliowakuta hapo miongoni mwao ni wale waliofeli form 2
 
Sio udaku tembelea wilaya hiyo uone then njoo hapa jukwaani hatufanyi SIASA wengn

Mabadiliko yana starting point, sehem zingine zinaambukizwa tu, huko watafikiwa mda ukifika! ww kama hufanyi siasa umekujaje jukwaa la siasa! nenda udakuni hapa ni politics tu
 
Mnaompinga mwanzisha uzi nawashauri jaribuni kutembelea maeneo ya vijijini ambako chama tawala kina nguvu, naamini mtamkubali.
 
Nipo ziarani mkoani Mbeya wilaya ya Busokelo jimboni kwa John Mark Mwandosya kijiji kimoja kinaitwa Mbambo nimekutakana na makamanda wanatoa kadi za chama bure na mwitikio wake uko chini mno ni mmojammoja nilipojaribu kupekua zaidi. Nilikutaka na vijana wanacheza pool wanakwambia sisi tunaipenda CCM, nilipojaribu kudodosa kwanini nilijibiwa wameleta mfereji wa maji, umeme na shule nilipojaribu kuonekana tofauti niliambiwa sisi hatutaki vita, nilipojaribu kuuliza zaidi nimeambiwa viongozi wote wezi bora tubaki hvhv hapo ndio nikajua jeuri ya magamba

Anaitwa James na si John kama ulivyoandika.
 
mleta mada utakuwa liongo lililobobea hapa mbambo hakuna ujinga kama huo mi nipo hapa busisya nashinda hapo mbambo
 
Kubaliana na ukweli na si uongo jua tatz kutibu kuliko kuficha ujinga kama ule nimeshinda Mbambo toka juzi Leo nimekuja lupando kupitia busisya kwa mbunge wako Mwakyusa na kesho ntajaribu kujua kwann kuna bendera za CCM tu pale sokoni.
Elimu ya vijana pale ni wengi waliacha shule waliobahatika darasa la saba na kazi kubwa waliokimbilia ni bodaboda wameacha kulima na wanasema wameletewa ng'ombe wakapewa nikajaribu kuuliza wakasema CCM ndio wameleta ng'ombe na hizo ng'ombe nyingi zimekufa nikagundua ujanja wa magamba wametumia mwanya huo. Ila najua programme ilikuwa ya serikali ila kesho ntauliza ulikuwa mradi gani?

Tujue kuwa kijijini ambako kuna watu wengi uelewa mdogo sana kuliko mjini na Mbakka ni mmojawao
 
Nipo ziarani mkoani Mbeya wilaya ya Busokelo jimboni kwa John Mark Mwandosya kijiji kimoja kinaitwa Mbambo nimekutakana na makamanda wanatoa kadi za chama bure na mwitikio wake uko chini mno ni mmojammoja nilipojaribu kupekua zaidi. Nilikutaka na vijana wanacheza pool wanakwambia sisi tunaipenda CCM, nilipojaribu kudodosa kwanini nilijibiwa wameleta mfereji wa maji, umeme na shule nilipojaribu kuonekana tofauti niliambiwa sisi hatutaki vita, nilipojaribu kuuliza zaidi nimeambiwa viongozi wote wezi bora tubaki hvhv hapo ndio nikajua jeuri ya magamba

Huko sio ndo Matayo Quares alisema wananyumba ambazo hata kuku anaweza kuangusha wakamlalamikia, usijali ni vijana wajinga hao. Kama wanabisha tumuulize matayo kama atabadili wamuzi wake. TUSIKATAE BAADHI YETU LAZIMA TUWE WAJINGA ni mpango wa mungu magugu na ngano ziote pamoja.
 
Back
Top Bottom