Kabwe makanika jitu kumbuka

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Jamani nimemkumbuka huyu karakta wa Zahir Ali Zorro katika KABWE MAKANIKA JITU KUMBUKA je kuna mtu anaweza nisaidia nakala ya hivi vitabu nijikumbushie?
Mzee Zorro vp mbona asirudi tena katika uandishi kama huu?
Ningemshauri kwa sasa ili kuenda kiteknolojia anaweza andika alaf akawatafuta watayarishaji filamu wakatengeneza movie!!

KABWE MAKANIKA JITU KUMBUKA KATIKA VITA DHIDI YA UNYAMA WA MAFIA!!
CAPPO DI TUTTI CAPPI!!
 
Dah nakumbuka sana ile pigo takatifu la Kwei Koubash!!!
Na yule mchumba wake pikipiki ya BMW akiwa na mshenga Magnum 537.
Nilisoma hivi vitabu na vingine zamani sana.

Hivi kuna kile kitabu kiitwacho Kisiki ambapo kuna karakta mmojawapo mzungu aitwaye rolland na wengineo..... ambacho kilitolewa only fisrt release kikaishia patamu halafu wakasema kitaendelea then sikukiona since leo.

Mkuu unanikumbusha mbali kweli, enzi za unga wa yanga
 
Nur el Ash.
Almasi iliyozua tafrani.
Ah baba umechokoza kumbukumbu
 
Nilisoma hivi vitabu na vingine zamani sana.
Mkuu unanikumbusha mbali kweli, enzi za unga wa yanga

Duu kumbe mzee mwenzangu na wewe umekula magunia ya chumvi mengi eehhh watoto wa dot com havijui hivyo vitabu wala unga wa yanga!
 
mkuu MASA
we acha tu hawa watoto wa siku hizi wanakatisha tamaa kabisa
 
Mambo ya Kwei Kourbash Fournuka , du, long timeeee!

Kablaya Yan Ki Badach na Pulla Mallaca.
 
Back
Top Bottom