Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

Ushauri:
Kuna baadhi ya majors upatikanaji wa ajira zake ni kizungumkuti sana na sio bongo tu hata 1st world. Hapa naongelea hizi majors za humanities. Ni suala ambalo wazazi, ndugu jamaa na marafiki wawaelimishe watoto toka wakiwa primary school ili wajue what lies ahead wakati wanapofanya choice ya majors esp wakiwa junior high school
 
Moderators, kwa nini hii imeletwa kwenye jukwaa la matangazo madgo madogo? sielewi hapa.
Invisible
 
Last edited by a moderator:
naomba uniwekee link ama hilo andiko unalosema nimetafsiri, na nitaifuta hii mara moja. Ukishindwa kufanya hivyo nitake tu radhi kiungwana kwa kuteleza ama kuropoka pasi na kufanya utafiti. Ukishindwa yote kaa kimya tu na werevu watajua haupo makini. Asante na karibu sana mkuu.
miafrika ndo tulivyo,hiyo mijamaa haitaki kukubali au inaona wivu kuwa umeizidi uwezo wa kufikiri na kupangilia mawazo....! gud stuff,man...keep it up
 
Ushauri mzuri sana mdau...me pia ni muhitimu wa udom mwaka huu. Napitia mara kwa mara ushauri wako. Asante sana
 
Back
Top Bottom