Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Baada ya kufanya karesearch kangu kadogo bado cjapata uhakika kamili kuwa kabila gan linaongoza kuwa Facebook,
naomba niskie maoni yako!
 
Jaman swali sio we kabila gani......tuseme ukweli kabila gan la ongoza
 
Ukabila, ukabila, ukabila, ukabila ukabila huooooo unaisogelea TZ. Hatariiiiiiiiiiiii. Pat Gucci akili zake ziko katika PUMBU.
 
Bahati mbaya sana katika profile hakuna sehemu ya kujaza kabila kule facebook, kwa hiyo itakuwa ngumu kwa sisi wa jf kukujibu. Njia rahisi ni wewe kuwauliza marafiki zako na marafiki wa rafiki zako ni kabila gani, hapo utafanikiwa!
 
Back
Top Bottom