Kabila alikosea kuwaachia madaraka wakasai Kongo

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia Wakasai (Waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa. Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa Moise Katumbi aliye kuwa na nafasi kubwa ya kuwa Rais wa Kongo. Basi angetafuta makabila mengine na kuwaachia madaraka sio hawa Waluba.

Kwanini hakutaka kujifunza hata kwenye historia ya nchi yetu kama Kongo kuna makabila ambayo yanafukuzwa katika mikoa mingine Kongo ni wakasai na wanyamulenge kwasababu ya tabia yao ya kutaka kumiki wao tu hata kitu sio cha kwao wakifika wao wanataka wawe wao tu

1960 walifukuzwa Katanga

1992 walifukuzwa Katanga

2020 walifukuzwa sud Kivu

Sijui 2019 walifukuzwa Équateur

Leo tunachaguliwa ukiwa upande wa ndugu yao Felix Tshisekedi unakuwa mkongo
Ukiwa upande wa upinzani wewe ni mgeni sio mtoto wa nchi

Vital Khameri wao ndo walimtangazia kwa wakongo kuwa ni Mrundi sio Mkongo wakamchafua
Kachaguliwa na ndugu yao wameenda kumpokea na shangwe lote sijui kama ndo amegeuka mkongo kwasasa

Wao ndo walimtangazia kuwa kabila sio mkongo ni mnyarwanda
Wao ndo wanamtangazia Katumbi ni Mzambia

Wao ndo wanamtangazia Membe sio Kongo ni mTanzania

Yaani ni shida

Kabila alikosea saana Kongo
Na ninajua kwanini alifanya hivi baada ya Felix kutangaza tu kuwa akimaliza miaka yake anapenda Kongo tuongozwe na mwanamke tayari na jua ni nani huyo

Hii familia inapenda madaraka saana
 
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia wakasai (waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa
Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa moise katumbi aliye kuwa nanafasi kubwa ya kuwa rais wa Kongo
Basi angetafuta makabila mengine na kuwaachia madaraka sio hawa waluba

Kwanini hakutaka kujifunza hata kwenye historia ya nchi yetu kama Kongo kuna makabila ambayo yanafukuzwa katika mikoa mingine Kongo ni wakasai na wanyamulenge kwasababu ya tabia yao ya kutaka kumiki wao tu hata kitu sio cha kwao wakifika wao wanataka wawe wao tu

1960 walifukuzwa katanga

1992 walifukuzwa katanga

2020 walifukuzwa sud Kivu

Sijui 2019 walifukuzwa Équateur

Leo tunachaguliwa ukiwa upande wa ndugu yao felix kchikekedi unakuwa mkongo
Ukiwa upande wa upinzani wewe ni mgeni sio mtoto wa nchi

Vital khameri wao ndo walimtangazia kwa wakongo kuwa ni mrundi sio mkongo wakamchafua
Kachaguliwa na ndugu yao wameenda kumpokea na shangwe lote sijui kama ndo amegeuka mkongo kwasasa

Wao ndo walimtangazia kuwa kabila sio mkongo ni mnyarwanda
Wao ndo wana mtangazia katumbi ni M zambia

Wao ndo wana mtangazia membe sio Kongo ni mtaanzania

Yaani ni shida

Kabila alikosea saana Kongo
Na ninajua kwanini alifanya ivi baada ya felix kutangaza tu kuwa akimaliza miaka yake anapenda Kongo tuongozwe na mwanamke tayari na jua ni nani huyo
Hii familia inapenda madaraka saana
Fafanua kidogo maaa hii haieleweki vizuri - kwani shida hipo wapa hasa - tangu miaka ya 1960s nyie mnakuwa watu wa kuvurugana tu 24X7, mbona mnapokuwa Tanzania mnakuwa watulivu na wastaarabu - huko kwenu mnashindwa nini?
 
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia Wakasai (Waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa. Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa Moise Katumbi aliye kuwa na nafasi kubwa ya kuwa Rais wa Kongo. Basi angetafuta makabila mengine na kuwaachia madaraka sio hawa Waluba.

Kwanini hakutaka kujifunza hata kwenye historia ya nchi yetu kama Kongo kuna makabila ambayo yanafukuzwa katika mikoa mingine Kongo ni wakasai na wanyamulenge kwasababu ya tabia yao ya kutaka kumiki wao tu hata kitu sio cha kwao wakifika wao wanataka wawe wao tu

1960 walifukuzwa Katanga

1992 walifukuzwa Katanga

2020 walifukuzwa sud Kivu

Sijui 2019 walifukuzwa Équateur

Leo tunachaguliwa ukiwa upande wa ndugu yao Felix Tshisekedi unakuwa mkongo
Ukiwa upande wa upinzani wewe ni mgeni sio mtoto wa nchi

Vital Khameri wao ndo walimtangazia kwa wakongo kuwa ni Mrundi sio Mkongo wakamchafua
Kachaguliwa na ndugu yao wameenda kumpokea na shangwe lote sijui kama ndo amegeuka mkongo kwasasa

Wao ndo walimtangazia kuwa kabila sio mkongo ni mnyarwanda
Wao ndo wanamtangazia Katumbi ni Mzambia

Wao ndo wanamtangazia Membe sio Kongo ni mTanzania

Yaani ni shida

Kabila alikosea saana Kongo
Na ninajua kwanini alifanya hivi baada ya Felix kutangaza tu kuwa akimaliza miaka yake anapenda Kongo tuongozwe na mwanamke tayari na jua ni nani huyo

Hii familia inapenda madaraka saana
Kiukweli Moise Katumbi ndie afaa kuwa raisi wa Congo (DRC) na ataibadilisha nchi hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom