Elections 2010 Kabidhiini Utawala kwa Jeshi

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Nasema Hivi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la wananchi Jenerali Abdulrahman Shimbo kuwa kama watawala wa kiraia kama wanataka kutawala kwa mabavu ni afadhali wakabidhi utawala kwa jeshi lililojifunza ubabe!
 
hivi shimbo ana elimu ya kiwango gani. utakuta mnabishana na mtu wa darasa la nne aliyepanda vyeo kwa kujuana juana tu, asiye weza hata kuanalyse yanayomtoka mdomoni mwake
 
Nasema Hivi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la wananchi Jenerali Abdulrahman Shimbo kuwa kama watawala wa kiraia kama wanataka kutawala kwa mabavu ni afadhali wakabidhi utawala kwa jeshi lililojifunza ubabe!

"Ukistaajabu ya Mahita Utaona ya Shimbo!
 
Mbona utawala tayari ni wa kijeshi?

hebu angalia hii!

Nchi inatawaliwa na serikali ya CCM. Mwenyekiti wa CCM ni Kanali Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu ni Luteni Yusuph Makamba, Katibu sijui mwenezi ni Kapteni George Mkuchika! To mention a few! Damn CCM!
 
Back
Top Bottom