Kaazi kweli kweli....!!!

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
a.aaa-African-Blue-Tooth.jpg
 
Tamaduni za kishetani nazichukia sana, kwa nini wazazi mnatuharibu kiasi hiki? Maana mtu akikuwa anakosa amani kabisa. Ukiangalia mtindo wa tohara mtu anaachwa na ngozi kiasi kwamba hata msichana anataka kukupapasa humwachii, mara mabinti wanakeketwa ukimwingilia wala hata hapati msisimko, WAZAZI WAACHENI WATOTO NA ASILI YA MIILI YAO
 
  • Thanks
Reactions: awp
Earpiece kwa wale wasiopenda usumbufu wakupokea simu mara weka sikio gani sijui.....
 
masaii kwa mbwembwe hawajambo kwa hiyo ile sera yao ya kumeza nyenzie imeamia sikioni hahahahahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom