K,i,l inailipa jiji milion 2.5 kwa mwezi makusanyo ya ubungo ni halali??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kana kwamba nahisi uchafu unazidi kuiandama jjiji la dar habari zilizotufikia zinasema
kampuni ilioshinda zabuni ya tenda ya kukusanya mapato ya stend ya ubungo inalipa jiji sh milion2.5 najiuliza tumemwondoa wa milion1.5 na sasa
tumedanganywa na makusanyo ya milion moja zaidi kweli atanzania tutafika kweli???
Hao ndio wanajiita konsaad investiment ltd humo ndan lazimakuna mkono wa mtu na hivyo
pinda kuonekana hana akili na kelele zake alizokuwa akipigaa hadharan

mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom