JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

RORYAKWETU

Member
Nov 18, 2011
83
13
Je, Wana JF mhitimu wa shahada ya 1 anaweza Kunufaika kwa kiasi gani akijiunga na JWTZ/TPF kwa kipindi hiki cha ukosefu wa ajira kama wimbo wa taifa letu?.Tafadhalini sana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu wakuu.:spy:
 
Miaka ya hivi kribuni jeshi limekuwa likiajiri sana wanataaluma wenye shahada.Fatilia na ikibidi fika wizarani mwenyewe ukapate maelezo ya kina.Nina imani unaweza ukatokea jeshini na ukatimiza ndoto zako.
 
Oya,pay lao huwa linaanzia shiling ngap,maana me siogopi kulogwa.
 
Miaka ya hivi kribuni jeshi limekuwa likiajiri sana wanataaluma wenye shahada.Fatilia na ikibidi fika wizarani mwenyewe ukapate maelezo ya kina.Nina imani unaweza ukatokea jeshini na ukatimiza ndoto zako.

Shukran sana kaka kwa ushauri wako wa kizalendo na wa kimaendeleo nimefurahi sana:tongue:
 
Kwa kawaida ni mwaka mmoja ila ukimaliza nasisitiza UKIMALIZA mana mtiti wake si mchezo..kwanza usingizi ule wa 6 weeks ni balaa kabisa na pia ile kazi ni ngumu lazima hasa uvumilie kweli kweli...ukimaliza unapewa nyota moja yaani Luteni usu baadae utapanda na kuwa Full Lieutenant...
 
Dah kaka! mbona wanajeshi wengi hawana maendeleo,unalichukuliaje hili.........!!!

Jeshi ni shughuli pevu. Inahitaji uvumilivu. Halafu nasikia (not proved) kuna mchezo mchafu wa wakubwa (boss) kuwa-ambukiza wadada wadogo magonjwa ya zinaa. Wadada hasa wale warembo wanapewa mazoezi magumu sana mpaka wana-surender kwa boss wao. Hatimayake ndiyo hivyo wanaishia pabaya (HIV). Ni mchezo mchafu sana huu huko jeshini na JKT.
 
Dah kaka! mbona wanajeshi wengi hawana maendeleo,unalichukuliaje hili.........!!!

Si kweli.Life is how you make it!Maendeleo pamoja na mambo mengine inategemea na utashi wa mtu mwenyewe.Wako walipata kuwa makamishna wa wizara na wakurugenzi hawana maendeleo.Na wapo watu wanafanya kazi za kawaida kabisa,,walinzi,makarani,wapishi nk wamefanya mambo makubwa ya kushangaza.Ondokana kabisa na hiyo misconception.
 
Mura! Hatarı sana hıı mura!
Utasota zaıdı ya mwaka pale twalıpo camp (kurasını) baadae wanakutupa kure mondurı unajıokotea rınyota rako kwa kusota sana bıra kura vızurı arafu unakuja unakaaa camp tena!
Mı nımeshuhudıa rafk zangu waksota sana ıra kama we nı rıjasırı nenda bwana ukagangamare mura!
Ira msıkırıze sana mura alıyekuambıa kuwa kuna uroszı mkarı sana kure jeshını sıku hızı! Kure utakutana na wazee warıobobea hawatakı kupga sarutı mura, akıkupgıa mara moja mara ya pırı razma ufe mura!
Kama una ndg yako kure ngererngere muurıze wangapı wamerest ın peace kwajırı ya ujıko wa sarute mura!
 
Back
Top Bottom