JUST NOW: Kampeni Za CCM Shangarai Zadoda

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Nimepita hapa Shangarai nikaona mkutano wa kampeni wa CCM ukiwa na wasikilizaji wasiozidi (eight to be exact).
Wako na magari yao tu
 
Mkuu sasa hivi bado sana muda wa kampeni

Namaanisha wabafunzi wa shule za msingi hawajatoka shule bado!!
 
uongo mwingine ni kujipa moyo tu,watu wanane unawajua wewe?,ccm wakose hata balozi mmoja na familia yake? mambo mengine nikujipamoyo pasipostahili wanaweza kukosa watu lakini si kihivyo bora ungesema eighty
 
Wewe unaongea kwa hisia wakati mtu yupo eneo la tukio!
 
Matusi ya Leo sijui yataelekezwa kwa nani, ngoja nimwambie mwanangu asipite maeneo hayo!
Leo Lusinde anaweza kuvua nguo kabisa!
 
uongo mwingine ni kujipa moyo tu,watu wanane unawajua wewe?,ccm wakose hata balozi mmoja na familia yake? mambo mengine nikujipamoyo pasipostahili wanaweza kukosa watu lakini si kihivyo bora ungesema eighty
Basi tuseme wapo eighty
 
Kampeni hizi nafikiri watu wanawakataza hata watoto wao kwenda kusikiliza.

Haya matusi ya Lusinde kwa kweli ni mazuri mno......

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom