Jumba Lenye Underground Linauzwa bei chee.

galaxy68

Member
Mar 9, 2012
41
0
Wana JF kitu kizuri share na Jamaa zako,
Jumba kubwa la kisasa (halijapauliwa)lenye underground Garage,M/bed room na sitting room au chumba cha mazoezi gym ya kisasa linauzwa bei ya kutupa View attachment 49364 Tshs 65 mil tu,lipo Kimara stopover -Michungwani,eneo lake lina ukubwa approx sqm 950,kuna M/bed room 3 ukubwa 5mtrx6mtr ziko juu,kuna bed room ya kawaida ya 4x5 iko juu,kuna sitting room ya 7x6mtrs iko juu,kuna dinning room ya 4x5mtr iko juu,kuna jiko,public toilets,bathroom,stoo na study room viko juu.
Kuhusu hati, gharama zote za upimaji zimeshalipwa so its on process lakini documents nyingine za umiliki wa eneo zipo.
kwa yeyote mwenye interest tuwasiliane kwa cell # 0754 364 363/0719
757 700
DSCF9591.JPG DSCF9586.JPG View attachment 49366 DSCF9589.JPG DSCF9596.JPG DSCF9592.JPG DSCF9594.JPG DSCF9600.JPG View attachment 49365 DSCF9599.JPG
 
Back
Top Bottom