jumanne kabwela
Member
- Jun 15, 2011
- 17
- 2
Jumanne mtoto wa mzee Kabwela naomba kukaribishwa katika jumba hili la Great thinkers.
karibia na mawazo/michango yenye kuelimisha umma kwa uzuri
(ni jumanne uyu uyu??)
Karibu sana JF.
asante sanaKaribu jamvini
JUMAKABWEEEEEEEEEEEEE ..karibu baba
ur gud ma dia..aujatumia jina lingne...
nipe dili bas mjin apa mwenzio nimechokaaaaaaaaaa...nipe dili nchomoze basi..
ka cv kangu tafadhalii..
1.ninajua kuchinja
2.ninauwezo mkubwa wa kunyonga
3.ninajua masoko yote ya kuuza viungo vya watu na ngozi zao
mengne badaye ngoja kdg nka....:bange:
JUMAKABWEEEEEEEEEEEEE ..karibu baba
ur gud ma dia..aujatumia jina lingne...
nipe dili bas mjin apa mwenzio nimechokaaaaaaaaaa...nipe dili nchomoze basi..
ka cv kangu tafadhalii..
1.ninajua kuchinja
2.ninauwezo mkubwa wa kunyonga
3.ninajua masoko yote ya kuuza viungo vya watu na ngozi zao
mengne badaye ngoja kdg nka....:bange:
Rose, Rose, Rose & Rose, hah hah!
Unajua Kuchinja------nini?
Unajua kunyonga----nini?
Kabwela Karibu bwana, huyo Rose ni mkwara(Nkwara) tu huo
Mie mwenyewe ninaganga njaa tu mjini dada yangu.
nimependa mkonyezo huo.
Mie mwenyewe ninaganga njaa tu mjini dada yangu.
nimependa mkonyezo huo.
oh, "Jimmy Kabwe" au!? ...karibu sana
Hah hah, mie sio nchokozi bwana, ila usinyonge, chinja tu na ufuate procedures, vigezo na kanuni za uchinjaji!we mabel wewe ...unanipimia?
nachinja -vyenye damu
nanyonga vyenye damu
ninaua watu wachokoz km wew:A S-baby:
nipe dili mwana ....jumakabweee m watng 4u brada... u gt ma cv ryt?m watng then...:bange:
Hah hah, mie sio nchokozi bwana, ila usinyonge, chinja tu na ufuate procedures, vigezo na kanuni za uchinjaji!
oh, "Jimmy Kabwe" au!? ...karibu sana